The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
CCM ni chukizo mbele za MUNGUMimi naichukia ccm kwa kubariki wizi na a ufisadi wa mawaziri na viongozi wote. Hili jambo linanikera sana
Kila uchafu unabaraka za CCMMiradi mingi kusimama na katiba mbovu
Wizi wa pesa za ummaKama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
hii barabara ya tarime nyamongo kiwango cha lami, imesimama miaka miwiili sasaKama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Kwani Ndugulile anasemaje?Barabara
Kibada-Mwasonga...kigamboni
Hii kila mwaka wanatupiga fix tu
Mkuu bando la wiki nilitamani sana uwe specific mtaani kwako na kama ni hizi hoja za jumla za mitandaoni basi ziwe zile zenye ushahidi wa wazi ili hoja yetu iwe na uhalisiaMimi naichukia ccm kwa kubariki wizi na a ufisadi wa mawaziri na viongozi wote. Hili jambo linanikera sana
Mbona kama una chuki za jumlajumla natamani uspecify matatizo unayayaona mtaani kwako ili iwe rahisi kuyajadili isiwe jumlajumla kana kwamba unachukia jina la chamaNi lichama lenye laana za watu wengi sana. Wengine wamekufa na kuzikwa wakiwa na uchungu mwingi moyoni na wengine waliuawa bila ya hatia. Ni afadhali nisipige kura kuliko kuyachagua ma ccm.
Zimeibwa wapi na sh ngapi nani kaiba liniWizi wa pesa za umma
Ndugu benja kumuingiza Mungu kwenye siasa ni kumkosea zaidi siasa za vyama vyote zina machafu mengi sanaCCM ni chukizo mbele za MUNGU
Ndugulile toka mwaka jana anasema tayar mkandarasi kapatikana na kazi itaanza...Kwani Ndugulile anasemaje?
Itaanza lini?Ndugulile toka mwaka jana anasema tayar mkandarasi kapatikana na kazi itaanza...
Sijui mwenyewe?..mama mwenyewe wakati anafungua lile tank la maji alisema ujenz wa km27 wa barabara hiyo utaanza hv karibuni lkn ni mwaka sasa...Itaanza lini?