Pre GE2025 Tuwekee kero za mtaani kwako zinazokufanya uichukie CCM na usiipe kura chaguzi zinazokuja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.

Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.

Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
 
Natamani kuandika kitu lakini sitaki kuwa keyboard warrior,
Pamoja na mazuri kiasi yanayoonekana lakini naamini nchi bado inaendeshwa kwa proaganda za miaka ya 80.

Vijana tukiamka tukawa taifa la leo tukatoka na kufanya maamuzi kuikumbusha hii serikali kuwa si ya chama x bali ni yawanchi, tukatadai mabadiliko/maboresho ya katiba na sheria kali kwa mafisadi na wasimamizi wa hovyo wa mali na miradi ya umma atleast nnaweza kusimama na kuandika kitu by the way tuendelee kula mtori
 
Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.

Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.

Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Wizi wa pesa za umma
 
hii barabara ya tarime nyamongo kiwango cha lami, imesimama miaka miwiili sasa
ni kero sana
 
Mimi naichukia ccm kwa kubariki wizi na a ufisadi wa mawaziri na viongozi wote. Hili jambo linanikera sana
Mkuu bando la wiki nilitamani sana uwe specific mtaani kwako na kama ni hizi hoja za jumla za mitandaoni basi ziwe zile zenye ushahidi wa wazi ili hoja yetu iwe na uhalisia
 
Ni lichama lenye laana za watu wengi sana. Wengine wamekufa na kuzikwa wakiwa na uchungu mwingi moyoni na wengine waliuawa bila ya hatia. Ni afadhali nisipige kura kuliko kuyachagua ma ccm.
Mbona kama una chuki za jumlajumla natamani uspecify matatizo unayayaona mtaani kwako ili iwe rahisi kuyajadili isiwe jumlajumla kana kwamba unachukia jina la chama
 
Back
Top Bottom