James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Kwahiyo mnashindwa kumkumbusha?Sijui mwenyewe?..mama mwenyewe wakati anafungua lile tank la maji alisema ujenz wa km27 wa barabara hiyo utaanza hv karibuni lkn ni mwaka sasa...
Juzi juzi wakati anaenda kufungua kiwanda cha magari amepita lkn yupo kimya tu
Moja kwa mojaKama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Kero ya namna gani ndugu yangu maana hata dar young Africa wanavaa kijani prison hata Kagera sugarHata kuvaa nguo zao za kijani ni kero
Lengo na shauku ya mwananchi ni kuona kero zake zinatatuliwatuziweke ili mpate kauli zakutulainisha jwakifupi kazi imewashinda sababu hawajui majukumu yao
wakati wanaomba vyeo hawakuvionaLengo na shauku ya mwananchi ni kuona kero zake zinatatuliwa
Hizo zitakuwa mambo ya kuwa danganyia wapiga kura kwa uongo ule ninaoufahamu au ni mzalendo mwenye nia ya kujua kero na kujitosa uchaguzini.Na iwapo umepanga kuwa mgombea na wakati huu ndio unatafuta kujua kero ni zipi mtaani kwa ama kwenye eneo unalolenga kuwa mgombea hautufai,ushauri kama unafikiri kupata nafasi ni kupata kula kwa urefu wa kamba sahau,maisha yalisha pinda tena kwa kasi ya 7GğŸ«Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Kwani kama nia yangu ni kujua kero ni ili nigombee nafasi ipi sasa maana jf ipo nchi nzimaHizo zitakuwa mambo ya kuwa danganyia wapiga kura kwa uongo ule ninaoufahamu au ni mzalendo mwenye nia ya kujua kero na kujitosa uchaguzini.Na iwapo umepanga kuwa mgombea na wakati huu ndio unatafuta kujua kero ni zipi mtaani kwa ama kwenye eneo unalolenga kuwa mgombea hautufai,ushauri kama unafikiri kupata nafasi ni kupata kula kwa urefu wa kamba sahau,maisha yalisha pinda tena kwa kasi ya 7GğŸ«
Kero huwa ni jambo endelevu unaweza kuwa na kero ya maji Leo lakini yakishakuwepo haiwi kero tenawakati wanaomba vyeo hawakuviona
Siii hasa ni udanganyifu kwa asili,fikiria mla kwa urefu wa kama ajajiongeezaaamooo🤣Kwani kama nia yangu ni kujua kero ni ili nigombee nafasi ipi sasa maana jf ipo nchi nzima
si mlimkataa JPM ,mbona mnalialiaMimi naichukia ccm kwa kubariki wizi na a ufisadi wa mawaziri na viongozi wote. Hili jambo linanikera sana
Kwa hio hapo mwenye makosa ni nani Aweso, Mbunge wenu anaaeenda kugongwa Meza tu kule bungeni hasemi chochote kuwahusu Wananchi wa Jimbo lake, Diwani wenu anaetumbua tu hasemi chochote kwa watu wa Maji au ni nini Serikali ifanye ifukuze Wafanyakazi wote wa DAWASA ndio furaha yako?Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Furaha yangu maji yapatikane muda wote na kwa kuwa hawa waliopo hilo limewashinda wanastahili adhabuKwa hio hapo mwenye makosa ni nani Aweso, Mbunge wenu anaaeenda kugongwa Meza tu kule bungeni hasemi chochote kuwahusu Wananchi wa Jimbo lake, Diwani wenu anaetumbua tu hasemi chochote kwa watu wa Maji au ni nini Serikali ifanye ifukuze Wafanyakazi wote wa DAWASA ndio furaha yako?
Kwa hio Wafanyakazi wote wazembe waliopo pale DAWASA wafurushwe?Furaha yangu maji yapatikane muda wote na kwa kuwa hawa waliopo hilo limewashinda wanastahili adhabu
Sasa hii ni kero iko mtaani kwako!?Kwa uamuzi dhidi ya Mhe. Mpina kutohudhuria vikao 15.
Sina hakika kama ni wao wanaotakiwa kuwachukulia hatua hawatimizi wajibu wao ndio wanaowafugaKwa hio Wafanyakazi wote wazembe waliopo pale DAWASA wafurushwe?
Mboni km unataka Maji yasiendelee kutoka Wewe unatakaje Maji yatoke au Maji yasitoke? Nipige Simu sasa hiviSina hakika kama ni wao wanaotakiwa kuwachukulia hatua hawatimizi wajibu wao ndio wanaowafuga