We ndo naniMboni km unataka Maji yasiendelee kutoka Wewe unatakaje Maji yatoke au Maji yasitoke? Nipige Simu sasa hivi
Ebwanawee kumbe unataka uendelee na msoto haya basi Maji yatatoka Mwezi ujao endeleeni KUOGA vumbiWe ndo nani
Kwa hiyo we ndo maji!?Ebwanawee kumbe unataka uendelee na msoto haya basi Maji yatatoka Mwezi ujao endeleeni KUOGA vumbi
Endeleeni kulialia hivyo hivyo hamjui mnachotaka Wewe unaulizwa maswali vizuri unashindwa kutoa majibu yaliyonyooka unataka Wafanyakazi wote wa DAWASA wafukuzwe kwa uzembe wao unaosababisha nyinyi mkose Maji au unawaonea huruma waendelee kufanya kazi kwa uzembe hivyo hivyo?Kwa hiyo we ndo maji!?
Alafu urejee kwenye mada mada inasema ni kero gani Iko mtaani kwako uilete ili kujenga hoja kwa nini usimchague huyu na chama hiki mfano ulionifanya mimi niamue ni kukoseshwa maji kwa makusudi sijaomba maji kwa mtu yeyoteEndeleeni kulialia hivyo hivyo hamjui mnachotaka Wewe unaulizwa maswali vizuri unashindwa kutoa majibu yaliyonyooka unataka Wafanyakazi wote wa DAWASA wafukuzwe kwa uzembe wao unaosababisha nyinyi mkose Maji au unawaonea huruma waendelee kufanya kazi kwa uzembe hivyo hivyo?
Kwa hio hutaki Maji?ni kukoseshwa maji kwa makusudi sijaomba maji kwa mtu yeyote
Nataka kero yakoKwa hio hutaki Maji?
Maji hutakiNataka kero yako
Aaah Phylosopher, watu wa upinzani mmeishiwa point za kuwaanbia wananchi mnazitafuta huku JF nini?Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
Aulizwe ChoiceVariable , huyu ndio muorodheshaji wa miradi chungu nzima ya miondombinu ambayo mingi yake iko kwenye makaratasi tu.Sijui mwenyewe?..mama mwenyewe wakati anafungua lile tank la maji alisema ujenz wa km27 wa barabara hiyo utaanza hv karibuni lkn ni mwaka sasa...
Juzi juzi wakati anaenda kufungua kiwanda cha magari amepita lkn yupo kimya tu
ChukuwachakomapemaKuanzia jina lenyewe CCM ni kero tosha
Hapa tunajadili kama wananchi wa kawaida kuhusu masuala yanayowakabili wananchi wa kawaida ambayo yameachwa na viongozi walioomba uongozi ili wayashughulikieAaah Phylosopher, watu wa upinzani mmeishiwa point za kuwaanbia wananchi mnazitafuta huku JF nini?
Nimewaambia upinzani, mnapofanya mikutano na watu, mnapaswa kuelewa hao ni watu hawaelewi sera. Wapiga kura wa Tanzania majority ni semi illiterates, mnapaswa kutambua hilo. Kuongea nao juu ya sera za upinzani ni sawa na kumpigia mbuzi gita. Ongeeni lugha wanayoifahamu, waambieni Samia kamwaga pikipiki laki tano, sio mkitupa uraisi tutamwaga pikipiki milioni mbili! Kila familia masikini itapata baiskeli moja bure kila baada ya miaka mitano, kwa sababu fedha za kufanya hivyo zipo zinaliwa na viongozi wa CCM, si mnaona walivyo matajiri hadi wananunua timu za mpira kama tajiri wa Chelsea? Mnafikiri pesa za kununa timu wanazipata wapi, wanaiba pesa zenu mnazokatwa miamala!
Msikisema hivyo mkashindwa njooni mnione!
Ila wachungaji na masheikh kukuibia kwa kivuli cha watumishi wa Mungu ni sawa eti?Mimi naichukia ccm kwa kubariki wizi na a ufisadi wa mawaziri na viongozi wote. Hili jambo linanikera sana
Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu
KILA MTAA UNAPIGWA LAMI, MAJI YANATOKA, UMEME UMETULIA, SIJUI MNATAKA TUPIGE KURA WAPI?Kama mada inavyojieleza hapo juu natamani tuondokane na siasa za mihemko tuje kwenye siasa za hoja. Kuna wanaJF wanatamani kuamua nani wamchague na nani kwa sababu zipi. Nataka tusaidiane kupata sababu za kuacha watu.
Kwa mfano mimi nakaa Goba kwenye huu mtaa naichukia sana CCM kwa kuacha kutatua kero ya maji kwa makusudi kabisa.
Juzi kati hapa kaja Aweso yametoka siku mbili halafu yamepotea. Kwa hali hii lazima niwaadhibu