E and E
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 1,126
- 985
1.Kifo cha JPM chenye utata
2.Miradi mingi mfano hospital zinajiendesha kama zahanati, JPM alipoziacha zimeishia hapo
3. Ufisadi wa mali za UMMA Mtu anayefichua ufisadi anaitwa kwenye kamati ya maadili na wabunge wote wa CCM wanamgeuka.
4. Mikataba mibovu mfano ubinafsishwaji wa bandari, kuna siri Serikali imeficha.
5. Matumizi mabaya ya fedha za serikali, Ripoti ya CAG haitiliwi maanani.Takukuru haina meno
6.Mikopo kutoka taasisi za nje ambayo hatuoni impact yake, nafikiri inaenda kulipa posho.
7. Barabara nyingi zimesimama alipoziacha JPM, Mfano hiyo kibaha highway mpaka leo haina vituo vya mwendo kasi.
Nitainyima kura CCM