Tuwekeeni na picha ya Humphrey Polepole naye akiwa mapumzikoni ili tusahau ya Mwaipaya na Octoba 29

Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.

Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Sure,
Uko sahihi 100%
wananchi sio wajinga, na kwa hakika wajinga waliisha Tanzania.

Ndio maana hawewezi kubebwa ufala wa kifikra na kukubali kufanya vitu useless na nonsnse kama unavyojaribu kutaka wafanye.
In fact,
wafuata mkumbo wachache waliokosa maarifa wanaweza kufanya hiyo nonsense kama wanavyotibua minywele na kugomea misosi majumbani mwao:1Head:
 
Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.

Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Hivi kamanda ni kweli CHADEMA tunataka kwenda Ikulu au ni uongo? Hivi tunafikiri siasa tunazo zifanya zinaweza kumshawishi mtanzania kutupa support ya kwenda Ikulu? Je,tukienda Ikulu nani atabaki kupinga na kufanya harakati tunazo zifanya kwasasa... Mtazamo wangu bora sisi tubaki tu kwenye harakati na kupinga CCM . PEOPLE'S POWER
 
Endelea kufurahia mauaji
 
Ulichelewa wapi, Ulikuwa Tarakea?
UNGEWEKA JAPO PICHA MOJA BASI Erythrocyte !
1793023283481.png
 
Hivi kamanda ni kweli CHADEMA tunataka kwenda Ikulu au ni uongo? Hivi tunafikiri siasa tunazo zifanya zinaweza kumshawishi mtanzania kutupa support ya kwenda Ikulu? Je,tukienda Ikulu nani atabaki kupinga na kufanya harakati tunazo zifanya kwasasa... Mtazamo wangu bora sisi tubaki tu kwenye harakati na kupinga CCM . PEOPLE'S POWER
Itakuwa ni kazi ya CCM! simple logic tu imekushinda mzee!
 
Back
Top Bottom