Kumbe macho unayo ila unataka kunisumbua tu, japo picha haihusiani na Mapumziko
Nitakuwa na Wakatolikivipi mkuu keshokutwa utatoka? au kazi yako kuhamasisha wengine tu
Mwaipaya mshampata? Au ndio kudandia kila linalokuja? Au ndio maana ya akili kubwa? Ahahahahaha!!Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.
Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Watanganyika siyo wajinga ,wanaleta FUTUHI kuipotezea issue ya TWAHA ,hapo imekuwa confirmed kwamba Twaha ametekwa na sirikali ya SAMUYA.Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.
Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Kamanda umenikwaza...alafu sisi tunapinga kununua bidhaa za Kenya wewe hupo unanunua Blue Band yaaniEndelea kufurahia mauaji
Sàsa unaweza kuta picha katùma yule roɓoti wao mshamɓa🏃Picha ya Nchimbi akiwa Brazil enzi hizo eti leo wanatuambia ni ya Dubai. Wajinga kabisa hawa watu.
hiyo yenyewe ya muda sana inaonekanaYa Polepole bado wanaitengeneza kwa AI.
Shida wanaonà wao ndiyo wajanja wanayoleta upùpu wa ujinga wao nà wanatakà wote waukubali na kuuelewa!Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.
Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Hata mimi nilihisi hivyo, kumbe ni kweli.hiyo yenyewe ya muda sana inaonekana
hiyo ni 2024 huko, na sio DubaiHata mimi nilihisi hivyo, kumbe ni kweli.
Upotoshaji ni mwingi sana mtandaoni.hiyo ni 2022 huko, na sio Dubai
wanajua wanachofanya, wanajua kwanii zitolewe leo, wanajua yoteUpotoshaji ni mwingi sana mtandaoni.
Hivi hii mchezo ya kitoto ni watu wenye akili zao wanakaa kabisa na kuja nayo, au ni hawa machawa tu wasio na akili timamu wanayeta?wanajua wanachofanya, wanajua kwanii zitolewe leo, wanajua yote
hahahahaha,Mkuu hata sijui nikuambiaje, kifupi hiyo michezo ni watu wa zima kabisa wanacheza na wanajua vzr sana, na ndio maana unaona media zote zimepostHivi hii mchezo ya kitoto ni watu wenye akili zao wanakaa kabisa na kuja nayo, au ni hawa machawa tu wasio na akili timamu wanayeta?
Ila nakubaliana na wewe. Wakati mwingine kitendo cha wewe kuushtukia mchezo haimaanishi watanzania wote wameushtukia.hahahahaha,Mkuu hata sijui nikuambiaje, kifupi hiyo michezo ni watu wa zima kabisa wanacheza na wanajua vzr sana, na ndio maana unaona media zote zimepost
Kivipi? Eleza kwa utuo.Kuna wakati tukubali CCM wapo mbele ya muda wanajua wanachokitaka
Wanajua wanachokifanya
Ku deal na CCM sio kupiga kelele kwenye platform huku ukisubiri neema ya mungu ni kudanganyana
Mbona mbinu zao za kishamba sana!Kuna wakati tukubali CCM wapo mbele ya muda wanajua wanachokitaka
Wanajua wanachokifanya
Ku deal na CCM sio kupiga kelele kwenye platform huku ukisubiri neema ya mungu ni kudanganyana