Tuwekeeni na picha ya Humphrey Polepole naye akiwa mapumzikoni ili tusahau ya Mwaipaya na Octoba 29

CCM huitwa wajinga ila sio wajinga
CCM wanajua wanachotaka na wanakisimamia tofauti na huku team pinzani
Napinga lna na wewe kuwapa sifa wasiyonayo ya kuwa mbele ya muda. Mbinu wanaotumia ni za kijinga sana, ni vile watanzania wengi wanaruhusu sana akili zao kufanyiwa misdirection.

Watanzania wengi unaelekeza umakini kweye mambo ya kipuuzi kiasi kwamba wale wanaoelewa michezo hiyo wanaonekana ndio wehu. Ama kweli ilimu ya darasani pekee haitoshi....
 
Ila nakubaliana na wewe. Wakati mwingine kitendo cha wewe kuushtukia mchezo haimaanishi watanzania wote wameushtukia.

Hawa watu wanajua watanzania wengi wanaweza kuchezewa akili, hawajali wala kuona aibu kisa watu wachache wameshtuka.
wanajua hata ukishtukia huna pakwenda kusema , halafu utaonekana mwehu, maana mjinga atakuuliza wewe na mirad ayo, au wewe na gazeti la mwananchi, nani mkweli ? hadi hapo unakua huna points, na kama kuna watu wengi unaonekana wewe muongo, unabishana na magazeti na vyombo vya habari
 
Mbinu zao sio za kishamba kwa sababu mara zote huibuka washindi huwezi kusema mtu anatumia mbinu za kishamba huku ana kubagaza

Ni kukubali kua adui amekuzidi mbali ili ujipange kikamilifu

Huko kudogosha mbinu za CCM ndio udhaifu ulipo na gori linafungwa
hahahaha,nadhani baadhi hawajui hizi mbinu au hii michezo, kifupi hawajawahi kufeli na ndio maana hawana hofu , CCM wanatumia rasilimali zote, huku kwa ground washaanza kujitathimini, huko juu ndio kama hivi,jamaa wako vzr
 
Elimu elimu elimu! Siyo hii ya darasani, elimu haswa! Watanzania wengi hatufikiri kwa mtiririko mzuri, na hiki ndicho kile kitu CCM wanakitaka.
 
Malezi na kupima akili ya mtoto kwa ufaulu wa darasani (wa kukari mambo) kwa watanzania wengi ndiko kumetufikisha hapa.
 
Elimu elimu elimu! Siyo hii ya darasani, elimu haswa! Watanzania wengi hatufikiri kwa mtiririko mzuri, na hiki ndicho kile kitu CCM wanakitaka.
hahahahahaha, huo mtego ccm wameuacha makusudi , ili utoke hapo ni wewe mwenyewe binafsi uone hali halisi, nje ya hapo ngumu. umasikini,ujinga, uelewa mdg, kushindwa kuchambua mambo ndio mtaji wa ccm
 
Bahati iliyoje kwa serikali, siku hizi asilimia kubwa ya watanzania ni mashabiki wa Simba na Yanga, hadi wanawake 😂
 
Acha Ujinga wewe.
Hujui Jinsi gani tumeumia Twaha kutekwa.

Picha zitakufaidi nini!!!!!!?!
Shenzi
 
hahahaha,nadhani baadhi hawajui hizi mbinu au hii michezo, kifupi hawajawahi kufeli na ndio maana hawana hofu , CCM wanatumia rasilimali zote, huku kwa ground washaanza kujitathimini, huko juu ndio kama hivi,jamaa wako vzr
Shangaa wewe huyu dada sijui kaka mleta mada hua ananishangaza sana

Iko hivi siku upinzani wakikubali kama CCM wamewapita mbali walau watakua wamepiga hatua
 
tatizo hawataki kukubali, mie nakaa baadhi ya viongozi wa ccm , kata, wilaya ,mkoa, jamaa wana mipango, mfn sasa hv wana mikakati hiyo kwa ground huku, mtu unaina na mingine unashirikishwa ,unaona kabisa jamaa wako vzr
 
Shangaa wewe huyu dada sijui kaka mleta mada hua ananishangaza sana

Iko hivi siku upinzani wakikubali kama CCM wamewapita mbali walau watakua wamepiga hatua
humu sio wote GT wengine ni hoya hoya tu , nilikua nawachora watu kipindi cha kampeniii humu, eti hatoboi hatoboi, wakawa wanapewa info za uongo wakiamini kweli kumbe wenzao wanawachora tu, na kuwacheka
 
Back
Top Bottom