Tuwekeeni na picha ya Humphrey Polepole naye akiwa mapumzikoni ili tusahau ya Mwaipaya na Octoba 29

tatizo lipo hapa
wapinzini hqwataki kukubali

Noma wanataka kutufanyaje
hahahahaha, hawataki ile hali ijirudie, wako na plan za muda mfupi,muda wa kati na muda mrefu, mbaya au nzuri jamaa wanashirikisha hadi vyombo vya dola,swali kuu nini kilipelekea ile hali,nini kifanyike, sasa wameanza utekelezaji , kuna vitu mtakua mnaona kama masihara kumbe ndio mnajaa hivyo kwenye 18
 
Ila hizi siasa za AFRIKA zina walakini sana! Raia kuwa tofauti tu na mawazo yako inafanya kikundi au genge fulani kukuteka, kukutesa, kukunyanyasa, kukudhalilisha na hatimaye KUKUUWA ni jambo la KISHETANI KABISA KABISA KABISA.
MWISHO wa hawa MASHETANI huwa mbaya sana sana sana!
 
Mbinu zao sio za kishamba kwa sababu mara zote huibuka washindi huwezi kusema mtu anatumia mbinu za kishamba huku ana kubagaza

Ni kukubali kua adui amekuzidi mbali ili ujipange kikamilifu

Huko kudogosha mbinu za CCM ndio udhaifu ulipo na gori linafungwa
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?
 
Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.

Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?
 
Mbinu zao sio za kishamba kwa sababu mara zote huibuka washindi huwezi kusema mtu anatumia mbinu za kishamba huku ana kubagaza

Ni kukubali kua adui amekuzidi mbali ili ujipange kikamilifu

Huko kudogosha mbinu za CCM ndio udhaifu ulipo na gori linafungwa
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?
 
Hakuna kitu kinanikera kama hizi mambo aisee

Kuna member na muheshimu
Akaja na uzi wa udaku kuhusu hii issue nilishangaa kumbe kua mtu mzima haina maanaa........?
mitego kama ile ndio inawapa mwanga kuwa kumbe hawa watu hawajui lolote ni waokota story, eti mtu anakuambia chanzo cha ndani kimenipa kumbe katestiwa je unajua nini huku? kuna siku ni kawe kwa mh Mkuu, mh anacheza na wajukuu, huku JF wakaja na uzi eti kakata moto, dah nilicheka sana nikasema kweli serikali inajua inachofanya , kesho yake mh akapaa zake shinyanga na tabora kukaagua miradi ya taasisis yake
 
Back
Top Bottom