Tuwekeeni na picha ya Humphrey Polepole naye akiwa mapumzikoni ili tusahau ya Mwaipaya na Octoba 29

Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanuka uchi wanatuchezesha kimaisha kweli?
hapana sijasema tuwakatae hapana, nasema kwamba jamaa wanajua kucheza hizi game, hao akina mange wanajaribu kuwasanua
 
Ulinusa nyuchi zao mkuu?
Maria aliliwa na rafiki yangu wa Arusha mtoto wa mama maeda wa Arusha enzi hizo miaka 96 mpaka 2000 kalikuwa kananuka uchi mbayaaa tukaa tuanawacheka maaafkasti wote yeye mtoto wa dr kavavile mtoto wa dr kweka wote maafkasti
 
mitego kama ile ndio inawapa mwanga kuwa kumbe hawa watu hawajui lolote ni waokota story, eti mtu anakuambia chanzo cha ndani kimenipa kumbe katestiwa je unajua nini huku? kuna siku ni kawe kwa mh Mkuu, mh anacheza na wajukuu, huku JF wakaja na uzi eti kakata moto, dah nilicheka sana nikasema kweli serikali inajua inachofanya , kesho yake mh akapaa zake shinyanga na tabora kukaagua miradi ya taasisis yake
Ukisema hivi unaitwa chawa
Kuokota okota story et kwa zena hatoki mtu
Badala iwekwe mikakati watu wanapiga ramli na kusubiri neema ya Mungu
 
Maria aliliwa na rafiki yangu wa Arusha mtoto wa mama maeda wa Arusha enzi hizo miaka 96 mpaka 2000 kalikuwa kananuka uchi mbayaaa tukaa tuanawacheka maaafkasti wote yeye mtoto wa dr kavavile mtoto wa dr kweka wote maafkasti
Kwahiyo ukakubali hadithi za kuambiwa mi nilijua ulimla mwenyewe

Inawezekana rafiki yako alipigwa chini akaunda scandal maana nyie hamtaki kuacwa dadeki zenu
 
Ukisema hivi unaitwa chawa
Kuokota okota story et kwa zena hatoki mtu
Badala iwekwe mikakati watu wanapiga ramli na kusubiri neema ya Mungu
hahahahaha, hilo ndio neno lao , hiyo ya kupiga ramli ndio mpk leo tumefika hapa, nawao wanajua kuwa jamaa wanapenda ramli ,wanazitunga nyingi, mama mgonjwa, sijui nani nini, mnajaa tu ,huku wao wakifanya mambo yao kwa uhuru

wapinzani ambao ni cdm kwa sasa hawana mikakati, na kama wanayo basi midogo sana, kwanza hawana hoja yoyote kubwa nje ya kudai katiba, na maandamano,

ccm kwakujua hayo, wameanza kufanyia kazi moja moja, wanaanza na kwanini waliandamana vzr, je chama ndio kimekosea au serikali na watendaji wake

mfano sasa hivi serikali na ccm wanachofanya ni ku dissconet mahusiano ya watu kwa kuwavuruga kwa story za vitoto vya 2000, picha ya nchimbi, matamsha ya muziki ,maonesho ,mikutano ya kidini, ili mradi tu october 29 ifike bila watu kujua washike lipi waache lipi
 
Mara nyingine scandal wanazivujisha wenyewe kutupima mawazo yetu

Naunga mkono Chadema na wazalendo wengine kudai katiba
Katibu haitakua suruhu 💯

Ila itapunguza baadhi ya kero

Ili ujue kama katiba ni swala nyeti sana
Angalia CCM wanasema nini kuhusu katiba
ccm kwakujua hayo, wameanza kufanyia kazi moja moja, wanaanza na kwanini waliandamana vzr, je chama ndio kimekosea au serikali na watendaji wake
Na mambo yep wanayafanyia kazi Tresor?
mfano sasa hivi serikali na ccm wanachofanya ni ku dissconet mahusiano ya watu kwa kuwavuruga kwa story za vitoto vya 2000, picha ya nchimbi, matamsha ya muziki ,maonesho ,mikutano ya kidini, ili mradi tu october 29 ifike bila watu kujua washike lipi waache lipi
Kuhusu tar 29 kuandamana sahau
 
Mara nyingine scandal wanazivujisha wenyewe kutupima mawazo yetu

Naunga mkono Chadema na wazalendo wengine kudai katiba
Katibu haiyakua suruhu 💯

Ili ujue kama katiba ni swala nyeti sana
Angalia CCM wanasema nini kuhusu katiba

Na mambo yep wanayafanyia kazi Tresor?

Kuhusu tar 29 kuandamanai sahau
ccm hiyo katiba ndio inawaumiza kichwa vibaya mno, wanataka ije mpya ,ila sasa wanafanyaje ili maslahi yao yabaki? hasa nafasi ya Rais , maana hapo kwenye rais ndio jeuri yao ilipo , na ccm kama ccm hawawezi kukubali katiba mpya mazima, maana kuna vi nafasi vingi mno , ukiwa kada unaeza kuvipata, na ukizingatia ujue kusoma na kuandika tu
Rais kwenye JMT,kwenye chama mwenyekiti , hizi nafasi 2 anatembea nazo na hazitenganishwi popote
 
Umeona sasa shida ilipo Tresor
Basi ngoja tuone mwisho wake kama uzima upo
 
Hivi kamanda ni kweli CHADEMA tunataka kwenda Ikulu au ni uongo? Hivi tunafikiri siasa tunazo zifanya zinaweza kumshawishi mtanzania kutupa support ya kwenda Ikulu? Je,tukienda Ikulu nani atabaki kupinga na kufanya harakati tunazo zifanya kwasasa... Mtazamo wangu bora sisi tubaki tu kwenye harakati na kupinga CCM . PEOPLE'S POWER
We nae jike shupa kweli! Kwaiyo ili waende ikulu wasiseme Wala kufanya lolote?wawe upande wa CCM hapo ndio wataenda ikulu na wananchi wataunga mkono? Wasikosoe Wala kulalama hata ikitokea mwenzao kauliwa au kutekwa? Basi we huna akili bibie!

Upinzani gani usiokosoa? Umemsikia Obama anavyomkosoa Trump?au ufuatilii we mwanamke mnafiki?
 
Back
Top Bottom