Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Wajinga sanaYa Polepole bado wanaitengeneza kwa AI.
Tarehe 29 lazima tuwakumbuke wapendwa wetu. Siku ngumu sana 🥲Wajinga sana
Waweke na ya mdude chademaWananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.
Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Kwanini wanaogopa ibada ya kuombea wafu?Tarehe 29 lazima tuwakumbuke wapendwa wetu. Siku ngumu sana 🥲
Assume kifo cha Chivayo kinapewa attention zaidi kuliko maelfu ya watu wetu walioangamia. Wanatuona nyani.Kwanini wanaogopa ibada ya kuombea wafu?
Sure,Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.
Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Hivi kamanda ni kweli CHADEMA tunataka kwenda Ikulu au ni uongo? Hivi tunafikiri siasa tunazo zifanya zinaweza kumshawishi mtanzania kutupa support ya kwenda Ikulu? Je,tukienda Ikulu nani atabaki kupinga na kufanya harakati tunazo zifanya kwasasa... Mtazamo wangu bora sisi tubaki tu kwenye harakati na kupinga CCM . PEOPLE'S POWERWananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.
Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Endelea kufurahia mauajiHivi kamanda ni kweli CHADEMA tunataka kwenda Ikulu au ni uongo? Hivi tunafikiri siasa tunazo zifanya zinaweza kumshawishi mtanzania kutupa support ya kwenda Ikulu? Je,tukienda Ikulu nani atabaki kupinga na kufanya harakati tunazo zifanya kwasasa... Mtazamo wangu bora sisi tubaki tu kwenye harakati na kupinga CCM . PEOPLE'S POWER
Mbona kwa CODE? ... FAFANUA ZAIDI!Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.
Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Ulichelewa wapi, Ulikuwa Tarakea?Mbona kwa CODE? ... FAFANUA ZAIDI!
Kuna wakati bando inakata! ... hata hivyo hutakiwi kuleta uzi bila kuweka taarifa muhimu na kusababisha sintofahamu!Ulichelewa wapi, Ulikuwa Tarakea?
Picha ya Nchimbi akiwa Brazil enzi hizo eti leo wanatuambia ni ya Dubai. Wajinga kabisa hawa watu.Wananchi siyo Wajinga kama mnavyodhani.
Huwezi kuzuia Ibada ya Maombolezo kwa Propaganda za kijinga namna hii
Itakuwa ni kazi ya CCM! simple logic tu imekushinda mzee!Hivi kamanda ni kweli CHADEMA tunataka kwenda Ikulu au ni uongo? Hivi tunafikiri siasa tunazo zifanya zinaweza kumshawishi mtanzania kutupa support ya kwenda Ikulu? Je,tukienda Ikulu nani atabaki kupinga na kufanya harakati tunazo zifanya kwasasa... Mtazamo wangu bora sisi tubaki tu kwenye harakati na kupinga CCM . PEOPLE'S POWER