Sina asiliamia zote jamaa amekufa! Usiamini sanaNaye kaonja umauti, tena kwa maumivu makali.
Hivi tuhuma gani zinamkabili hadi watu wanasema jamaa labda ka-fake kifo?Sina asiliamia zote jamaa amekufa! Usiamini sana
Pole sana kaka ndege😢Kwenye suala la October 29 niko serious kidogo sababu nilipoteza watu wa karibu.
Asante mkuu.Pole sana kaka ndege😢
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania