Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
70,785
Reaction score
186,690
Uzuri mwanamke akiwa uninterested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi!

Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako.

Ni kweli utamlainisha kwa noti ila tu tunapojisahau ni kuwa yule mwanamke hakukupenda from the very start. Uliamsha hisia zake kwa nguvu ya dola tu. Matokeo yake ni kuwa siku supply ya hela ikikata na supply ya mapenzi inakata! Hapo unajikuta tayari ulishalewa na penzi hujielewi kabisa unaanza kulia lia.

Utamlaumu bure kwa vitimbwi vyake ila kimsingi kilichomfanya aje kwako hakioni tena na the bad thing ni kuwa wengi wanakuwa tayari wana connection za kihisia na wanaume wengine. So unakuta zile genuine feelings ziko kwa bill nass ila boss Ruge anakula mzigo kwa sababu tu anampa connections za deals na shows! Hata boss Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaipiga kwa siri na nyumba angejengewa kwa hela za boss Ruge tu.

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda jamani!
 
Sasa mkuu Extrovert inafaa tusipende kabisa mwanamke juu hata kama ukihisi anakupenda anaweza kukhbadilikia na ukaja kushangaa.

Juu hakunanga sayantifiki wei yakujua kama anakuigizia.
Pacha, mwanamke atabakia kuwa mwanamke. Ukitaka kukatisha maisha yako kabla ya siku zako basi invest kwa mwanamke (Tena msomeshe chuo kabisa, uone balaa lake).

Nampinga kaka yangu Extrovert, labda mtu mzima Asprin aje kutupa muongozo juu ya hii mada.[emoji38]
 
Sasa mkuu Extrovert inafaa tusipende kabisa mwanamke juu hata kama ukihisi anakupenda anaweza kukhbadilikia na ukaja kushangaa.

Juu hakunanga sayantifiki wei yakujua kama anakuigizia.
Hutakiwi kupenda ambako unaona kabisa huhitajiki hadi ufosi na hela.

Mwanamke akikupenda anakupa kila utakacho bila hata kumpa sh.10 yako na kila kitu ata respond positively na hakutakuwa na hali ya kukukomoa.

Asiyekupenda kila afanyalo ataona anakufanyia favours na unastahili kumlipa [emoji28] ila kwa upumbavu wetu ndio ambaye tunamuonaga mwanamke na kujisifia eti mwanamke lazma umpe hela bana.
 
We utakua unachanganya mambo mawili, sex na investment, ndio maana unawamudu. Sasa hao unaowashauri wa invest jambo moja lazima watakuja kukuanzishia uzi ipo siku wa kukulaumu.[emoji38][emoji38][emoji38]
Hahahahah mkuu sex ni kwa malaya but love ni kwa wife material! Ninaowasemea mie ni wanawake ambao wako na interest na wewe automatically. Huyu uki engage nae kimapenzi hasumbui na anakuwa mvumilivu kama Toyota corrolla 110!

Mwanamke anahisi kukuhitaji sana kihisia na anakupenda dalili zote huwa zinakuwaga wazi. Huyu anafaa kwa sababu anakuelewa mwenyewe tu naturally ila ukimfata ukaona mwanamke anaanza kona kona nyingi jua hafai atakusumbua.Usikomae wala usitumie hela.
 
Hutakiwi kupenda ambako unaona kabisa huhitajiki hadi ufosi na hela. Mwanamke akikupenda anakupa kila utakacho bila hata kumpa sh.10 yako na kila kitu ata respond positively na hakutakuwa na hali ya kukukomoa.

Asiyekupenda kila afanyalo ataona anakufanyia favours na unastahili kumlipa 😅 ila kwa upumbavu wetu ndio ambaye tunamuonaga mwanamke na kujisifia eti mwanamke lazma umpe hela bana...
Sasa mkuu anaweza ku act mwanzoni ndio wewe usione mbele.

Ndio juu hata GNako aliwahisema 'haki ya mungu sioni mbele'.
 
Pacha, mwanamke atabakia kuwa mwanamke. Ukitaka kukatisha maisha yako kabla ya siku zako basi invest kwa mwanamke (Tena msomeshe chuo kabisa, uone balaa lake).

Nampinga kaka yangu Extrovert, labda mtu mzima Asprin aje kutupa muongozo juu la hii mada.[emoji38]

Sasa pachaa ndio namimi naungana na wewe juu ya hilo juu Extrovert anatuambia uongo juu yeye mwenyewe anajua kuwa wanawake hawana upendo bali wanataka hela.
 
Uzuri mwanamke akiwa dis interested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi!

Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako.

Ni kweli utamlainisha kwa noti ila tu tunapojisahau ni kuwa yule mwanamke hakukupenda from the very start. Uliamsha hisia zake kwa nguvu ya dola tu. Matokeo yake ni kuwa siku supply ya hela ikikata na supply ya mapenzi inakata! Hapo unajikuta tayari ulishalewa na penzi hujielewi kabisa unaanza kulia lia.

Utamlaumu bure kwa vitimbwi vyake ila kimsingi kilichomfanya aje kwako hakioni tena na the bad thing ni kuwa wengi wanakuwa tayari wana connection za kihisia na wanaume wengine. So unakuta zile genuine feelings ziko kwa bill nass ila boss Ruge anakula mzigo kwa sababu tu anampa connections za deals na shows! Hata boss Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaipiga kwa siri na nyumba angejengewa kwa hela za boss Ruge tu.

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda jamani!
You said it well
 
Back
Top Bottom