Mtoa mada,
Inategemea Lengo lililokupeleka kwenye mahusiano husika,
Sio Kila mahusiano lazima yahusishe mapenz (kupenda&kupendwa), aisee Nikuulize hivi mkuu Ntapenda wangapi Sasa?[emoji3]
Maana tayar nnae mpenda Sana, nayeye ananipenda Sana.
Nikwambie TU mkuu,
Mahusiano mengine tunaanzisha ili kutimiza haja zetu flani flani TU ili maisha yaendelee[emoji4]
Nikupe TU mfano,
Mwanamke nmempendea sex, uyo mwanamke hata akinipenda kwa 1000% bado mimi sitomjali kihisia coz mimi mwnyw simpendi hata kwa 1%.
Zaid Zaid,
Ntamjali kwa material things ili kurahisisha awe confortable kunitimizia malengo yangu yalonipeleka kwake (good sex).
Nije kwenye Suala la kuwekeza sasa,
Hakuna mwanaume TIMAMU anaweza kuwekeza kwa kahaba, kwa kahaba unafata mahaba na sio mapenzi.
Kwa kahaba tunahudumia, hatuwekezi.
Labda tumetofautina tafsiri ya kuwekeza.
Leo nikikuona
Extrovert unalilia mapenz Kwa kahaba nae akupende
Ntakuona wee sasa umeanza kua CHIZI[emoji4]