Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Uzuri mwanamke akiwa dis interested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi!

Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako.

Ni kweli utamlainisha kwa noti ila tu tunapojisahau ni kuwa yule mwanamke hakukupenda from the very start. Uliamsha hisia zake kwa nguvu ya dola tu. Matokeo yake ni kuwa siku supply ya hela ikikata na supply ya mapenzi inakata! Hapo unajikuta tayari ulishalewa na penzi hujielewi kabisa unaanza kulia lia.

Utamlaumu bure kwa vitimbwi vyake ila kimsingi kilichomfanya aje kwako hakioni tena na the bad thing ni kuwa wengi wanakuwa tayari wana connection za kihisia na wanaume wengine. So unakuta zile genuine feelings ziko kwa bill nass ila boss Ruge anakula mzigo kwa sababu tu anampa connections za deals na shows! Hata boss Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaipiga kwa siri na nyumba angejengewa kwa hela za boss Ruge tu.

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda jamani!
Kaka Kwema lkn au umepigwa na kitu kizto kichwan nn😂😂
 
Hahahahah ukijiwekea notion hio unafeli mwanetu[emoji28] binafsi nakuwaga na mademu hawanifanyi ATM na mapenzi wananipa tunafurahia maisha kwa activities mbali mbali na still maisha yanaenda. They are so inlove with my natural characters na vile huwa si fake life.

Kuna muda nashangaa kwanini wahuni mnalia lia ooh mapenzi pesa. Mbona wengine tunaishi nao tu bila kwere[emoji28]
Jidanganye[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kosa kubwa sana kujidanganya kwamba mwanamke anapenda. Wee tumia hela ule mbususu basi. Cha msingi ni kukojolea pisi kali basi. Upendo ipo kwa mama yako tuu
Endelea kuamini hivyo namie nitaamini vingine sababu mapenzi ni hisia basi kila mtu atashinda mechi zake.

Money cant buy love but it can surely buy you sex! Ukinunua ngono kwa pesa usichanganye ngono na upendo.
 
Jidanganye[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama mwanaume una option za kununua sex au kutafta mapenzi! Usije ukanunua sex kisha ukanogewa ukahisi unapendwa😅! Kiini cha mada kipo hapo!

Inategemea unainjoy kipi zaidi ila mapenzi ya kueleweka hayapatikani kirahisi. Wengi tunapenda shortcuts katika maisha na ndio wengi tunatumia hela kununua sex iliopambwa na pathetic lies!
 
Endelea kuamini hivyo namie nitaamini vingine sababu mapenzi ni hisia basi kila mtu atashinda mechi zake.

Money cant buy love but it can surely buy you sex! Ukinunua ngono kwa pesa usichanganye ngono na upendo.
Spot on mate! Sisi wengine hatuamini kwenye hiyo upendo toka kwa mwanamke. Wacha tutumie hela kupata hiyo sex mzeya maana ata kuoa kinachotafutwa ni hicho tuu
 
Kwema mzee baba, hii ni mada nimepost tu mkuu mie sina tatizo kabisa na hao watu
Safi sn mkuu... Mtupende sn sisi tunao wapenda
Kwema mzee baba, hii ni mada nimepost tu mkuu mie sina tatizo kabisa na hao watu
😂😂😂 me ni Ke bhn kakangu... Hata hivyo tunawependaga hata kama bado mnazchanga tatizo huja baada ya kuzpata baadh yenu mnaona hatustahili kutumia na nyie
 
Spot on mate! Sisi wengine hatuamini kwenye hiyo upendo toka kwa mwanamke. Wacha tutumie hela kupata hiyo sex mzeya maana ata kuoa kinachotafutwa ni hicho tuu
Yeah hio ni option ambayo kila mwanaume anayo mzee😅 ila haibadilishi ukweli kuwa mapenzi hayapo.
 
Safi sn mkuu... Mtupende sn sisi tunao wapenda

😂😂😂 me ni Ke bhn kakangu... Hata hivyo tunawependaga hata kama bado mnazchanga tatizo huja baada ya kuzpata baadh yenu mnaona hatustahili kutumia na nyie
Sorry mrembo! Ungeandika kidoti kabisa ieleweke io kudot inatuchanganya mashabiki😅😅😅

Well its true inahitaji hekima sana ku deal na mahusiano from the scratch to the top. Ila inawezekana ni kuomba mungu akujalie upate mwanaume asiye mshamba. Mwanaume ambaye ana utu mbona anajulikana ila limbukeni lazma akumenyeshe vitunguu maji!
 
Nilishwahi pendwa na mwanamke fulani aisee ule upendo ulikuwa unaniogopesha yule dada duuh

Nikaogopa nisije uliwa bure wivu nikakimbia [emoji2][emoji15]
 
Back
Top Bottom