Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

mkuu hivi yule dada kipindi kile mpk tukamtrack na mobile tracker vipi mmefunga ndoa tayari

ile kipindi kile uliponipa mtonyo wa hii apps mpka iliharibu ndoa yangu mzee

miaka mingi ishapita now
Hahahahah mzee baba nilikwambia usitumie ile mzee 😅😅😅 dah bora ungeacha tu ungekuwa na mkeo now🤩🤩🤩🤩
 
Ukiambiwa penda unapopendwa maana yake unatakiwa ubalansi shobo! Sehemu ambayo mwanamke hana interest achana napo usilazimishe kwa hongo za kitapeli!

Matokeo yake utaenda kuandikisha kesi za uongo ili mgoni alipe million 5 [emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo ulipo-italize Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndo maana nakwambia wewe hili jiwe hujatupa gizani,

Hili jiwe umenitupia Mimi Moja kwa moja kiazi wewe[emoji3]
IMG_20211217_181726.jpg
 
Uzuri mwanamke akiwa uninterested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi!

Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako.

Ni kweli utamlainisha kwa noti ila tu tunapojisahau ni kuwa yule mwanamke hakukupenda from the very start.

Uliamsha hisia zake kwa nguvu ya dola tu. Matokeo yake ni kuwa siku supply ya hela ikikata na supply ya mapenzi inakata! Hapo unajikuta tayari ulishalewa na penzi hujielewi kabisa unaanza kulia lia.

Utamlaumu bure kwa vitimbwi vyake ila kimsingi kilichomfanya aje kwako hakioni tena na the bad thing ni kuwa wengi wanakuwa tayari wana connection za kihisia na wanaume wengine.

So unakuta zile genuine feelings ziko kwa bill nass ila boss Ruge anakula mzigo kwa sababu tu anampa connections za deals na shows!

Hata boss Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaipiga kwa siri na nyumba angejengewa kwa hela za boss Ruge tu.

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda jamani!
Thats true chief. I concur with you.
 
Ukiambiwa penda unapopendwa maana yake unatakiwa ubalansi shobo! Sehemu ambayo mwanamke hana interest achana napo usilazimishe kwa hongo za kitapeli!
[/I]

Yule mwanamke faller sana[emoji3],
ile kesi Ni Matokeo ya dharau zake na yule ticha wake.

Kupigwa nje hatukatai,ila usimletee sponsa wako ngebe na dharau.

Ilkua ni lazima TU toneshane makali[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapompenda sana mtu, awe mwanamke ama mwanaume wa jinsia yako, elewa yeye hakupendi kama unavyompenda wewe, yaani upendo wako wewe lazima uwe juu zaidi ya anavyokupenda yeye, huo ni mfumo, kwa hiyo katika upendo huo wewe utakuwa unaburuzwa.
🚶🚶🚶
 
Yule mwanamke faller sana[emoji3],
ile kesi Ni Matokeo ya dharau zake na yule ticha wake.

Kupigwa nje hatukatai,ila usimletee sponsa wako ngebe na dharau.

Ilkua ni lazima TU toneshane makali[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah pale kweli sponser kamaindi 😅😅😅 uliamua ticha umpige na fimbo ya walimwengu😅
 
Back
Top Bottom