DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Hii IPO pia hata kwa wanaume,Mnapendwa sanaaa wanawake na sisi hatuna baya ila sasa shida akili yenu mmeigawa katika mahitaji mengi, mnataka vitu vingi sana kwa wakati mmoja na hakila vitu vyote hivyo kamwe hamuwezi kuvipata kwa MWANAUME MMOJA sasa shida inaanzia hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa mkuu Extrovert yeye anataka apate vitu vyote (mapenz na good sex) kwa mwanamke mmoja tu.
Hii haipo kabisa [emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app