Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Uzuri mwanamke akiwa uninterested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi!

Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako.

Ni kweli utamlainisha kwa noti ila tu tunapojisahau ni kuwa yule mwanamke hakukupenda from the very start.

Uliamsha hisia zake kwa nguvu ya dola tu. Matokeo yake ni kuwa siku supply ya hela ikikata na supply ya mapenzi inakata! Hapo unajikuta tayari ulishalewa na penzi hujielewi kabisa unaanza kulia lia.

Utamlaumu bure kwa vitimbwi vyake ila kimsingi kilichomfanya aje kwako hakioni tena na the bad thing ni kuwa wengi wanakuwa tayari wana connection za kihisia na wanaume wengine.

So unakuta zile genuine feelings ziko kwa bill nass ila boss Ruge anakula mzigo kwa sababu tu anampa connections za deals na shows!

Hata boss Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaipiga kwa siri na nyumba angejengewa kwa hela za boss Ruge tu.

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda jamani!
Ngoja wanafunzi tuchukue daftari na peni
 
Sasa kwanini vijana mna fall kwa malaya na kuacha wanawake wanaojielewa? Why utumie pesa kumfanya mwanamke akupende? Thats Cowardness
Kwa Malaya tunafata ngono,
Ayo mapenzi mapenzi wapeleke uko kwa kina Extrovert

Pesa inatumika kurahisisha mahitaji yako, maana hata ngono nayo inahitaji mwanamke awe sawa kisaikolojia.

Sidhan Kama kuna mwanamke atakubali umtomb akiwa na njaa, Hana uhakika na pa kulala , Wala Ela ya sabuni[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuamini hivyo namie nitaamini vingine sababu mapenzi ni hisia basi kila mtu atashinda mechi zake.

Money cant buy love but it can surely buy you sex! Ukinunua ngono kwa pesa usichanganye ngono na upendo.
Maelezo yako uku kwnyw comments, yanajikanganya sana maelezo yako kwenye mada yako[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo yako uku kwnyw comments, yanajikanganya sana maelezo yako kwenye mada yako[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiambiwa penda unapopendwa maana yake unatakiwa ubalansi shobo! Sehemu ambayo mwanamke hana interest achana napo usilazimishe kwa hongo za kitapeli!

Matokeo yake utaenda kuandikisha kesi za uongo ili mgoni alipe million 5 😅😅😅
 
Sorry mrembo! Ungeandika kidoti kabisa ieleweke io kudot inatuchanganya mashabiki😅😅😅

Well its true inahitaji hekima sana ku deal na mahusiano from the scratch to the top. Ila inawezekana ni kuomba mungu akujalie upate mwanaume asiye mshamba. Mwanaume ambaye ana utu mbona anajulikana ila limbukeni lazma akumenyeshe vitunguu maji!
Umeongea vyema... Halafu bhn nilichapia kuandika jina badala ya kidot nikaty kudot😊..
 
nauachia soon japo umenikuna pahali

maana tunapenda halafu hatupewi ile hadhi yetu

muanze kutupenda tu hakuna namna,,,mkuu ametuwakilisha

Mnapendwa sanaaa wanawake na sisi hatuna baya ila sasa shida akili yenu mmeigawa katika mahitaji mengi, mnataka vitu vingi sana kwa wakati mmoja na hakila vitu vyote hivyo kamwe hamuwezi kuvipata kwa MWANAUME MMOJA sasa shida inaanzia hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom