Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

wanaume hawa hawa wafanye ivo,
thubutu


wao wanaona kuwekeza kwa majamaa ndo maisha. unakuta akifa jamaa ake anajua mali zote zilipo adi nyaraka zote anazo.
mama na watoto wana hustle life.
 
Yaani ni kuviziana. Muda wote mpo ready to attack na kukimbia.
Hayo ya sekondari yanakuwaga really sana ila baadae mmoja anafunuliwa dunia ilivyo anakengeuka. Anaona aah kumbe maisha yapo hivi na mimi nang'angania mapenzi ya njiwa?

Ndio ile alikiba anasema "nili force kujificha kule, kumba chaka langu ni hapa".

Cha msingi heshima tu hata kama haumpendi mtu kweli.
Sema mi napenda sana long term relations over hizi za boom bang! Kunakuwa na bond flani kama mkianzia mbali pamoja over the years mko intact.

Kukengeuka kupo tu ila inategemea na akili za mtu uliye nae...Kama ni mtu anajielewa na hana tamaa tamaa mnatoboa freshi tu! Kama una date na mshamba lazma mkwame tu 😅!!!

Heshima ni muhimu sana kwa kweli ila katika watu wanaoweza kuwa na adabu kwa kitu ambacho hawakipendi au hakina thamani yeyote juu yao ni 0.5% katika 100%!

Ukiona hupendwi na unakuwa treated ugly jua kuna mwenzio ambaye anapewa opposite treatment kabisa. Anapendwa na kubebishwq hadi anakosa pumzi😅
 
Unaacha kuwekeza kwenye vitega uchumi unataka kuwekeza kwenye vichuma uchumi!
Kuwekeza manaake ni kujiweka yani kutulia nae! Sijamaanisha kumfungulia miradi au kumfanya mwanamke huyo mlemavu wa kutafta maisha na kumjazia mahela huku wewe ukishindia vipande vya mihogo
 
wanaume hawa hawa wafanye ivo,
thubutu


wao wanaona kuwekeza kwa majamaa ndo maisha. unakuta akifa jamaa ake anajua mali zote zilipo adi nyaraka zote anazo.
mama na watoto wana hustle life.
Wanaowekeza kwa majamaa naona wana akili maradufu kuliko kuwekeza kwa malaya wabandika kucha 😅
 
Mtoa mada,
Inategemea Lengo lililokupeleka kwenye mahusiano husika,

Sio Kila mahusiano lazima yahusishe mapenz (kupenda&kupendwa), aisee Nikuulize hivi mkuu Ntapenda wangapi Sasa?[emoji3]
Maana tayar nnaempenda Sana, nayeye ananipenda Sana.

Nikwambie TU mkuu,
Mahusiano mengine tunaanzisha ili kutimiza haja zetu flani flani TU ili maisha yaendelee[emoji4]

Nikupe TU mfano,
Mwanamke nmempendea sex, uyo mwanamke hata akinipenda kwa 1000% bado mimi sitomjali kihisia coz mimi mwnyw simpendi hata kwa 1%.

Zaid Zaid,
Ntamjali kwa material things ili kurahisisha awe confortable kunitimizia malengo yangu yalonipeleka kwake (good sex).

Nije kwenye Suala la kuwekeza sasa,
Hakuna mwanaume TIMAMU anaweza kuwekeza kwa kahaba, kwa kahaba unafata mahaba na sio mapenzi.

Kwa kahaba tunahudumia, hatuwekezi.
Labda tumetofautina tafsiri ya kuwekeza.

Leo nikikuona Extrovert unalilia mapenz Kwa kahaba nae akupende

Ntakuona wee sasa umeanza kua CHIZI[emoji4]
Hahahahahahah siwezi lilia kahaba mkuu maana mie sipendelei type hizo za kikahaba kahaba huwa napenda vitu flani hybrid. Sio wa kileji sana wala sio wa mjini sana😅

Kuwekeza kuna involve hisia na pesa...Kama utatumia pesa kumfurahisha malaya kisha uje kulia lia pia utanishangaza. Kuna wenzetu wanaofanya hilo kosa ndio hasa walengwa wa hii mada
 
Utalii watekelezwe,
Ila wakiwahudumia bado wahudumiaji mnawaona wapuuzi.

Yaani Ni Kama vile hueleweki Nini unasimamia mkuu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah mzee mie selection yangu ya pisi huwa inaniuma sana kuwaacha waliwe na fisi maji...Ningekuwa na uwezo ningeoa mademu kadhaa ambao nimekulaga maana wametulia sana mzee.

Ningekuwa mtoto wa Sultan ningeweka mizigo ndani.
 
Hutakiwi kupenda ambako unaona kabisa huhitajiki hadi ufosi na hela. Mwanamke akikupenda anakupa kila utakacho bila hata kumpa sh.10 yako na kila kitu ata respond positively na hakutakuwa na hali ya kukukomoa.

Wengine sisi wakatoriki na tushaoa tayar,
Hata akijitoa kutupenda atajichosha TU maana hataolewa MKE wa pili,

Hii ndoa ilokuwepo ni mpk kifo kitutenganishe[emoji4]

Ni sawa na wewe eti umpende MKE wa mtu, labda uombee mme wake afariki au umuue[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine sisi wakatoriki na tushaoa tayar,
Hata akijitoa kutupenda atajichosha TU hataolewa MKE wa pili,

Hii ndoa ilokuwepo mpk kifo kitutenganishe[emoji4]

Ni sawa na wewe eti umpende MKE wa mtu, labda uombee mme wake afariki au umuue[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah sasa unampendaje mke wa mwenzio! Kuwa mkewe tu tayari ni kikwazo
 
Back
Top Bottom