Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

Uzuri mwanamke akiwa uninterested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi!

Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako.

Ni kweli utamlainisha kwa noti ila tu tunapojisahau ni kuwa yule mwanamke hakukupenda from the very start.

Uliamsha hisia zake kwa nguvu ya dola tu. Matokeo yake ni kuwa siku supply ya hela ikikata na supply ya mapenzi inakata! Hapo unajikuta tayari ulishalewa na penzi hujielewi kabisa unaanza kulia lia.

Utamlaumu bure kwa vitimbwi vyake ila kimsingi kilichomfanya aje kwako hakioni tena na the bad thing ni kuwa wengi wanakuwa tayari wana connection za kihisia na wanaume wengine.

So unakuta zile genuine feelings ziko kwa bill nass ila boss Ruge anakula mzigo kwa sababu tu anampa connections za deals na shows!

Hata boss Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaipiga kwa siri na nyumba angejengewa kwa hela za boss Ruge tu.

Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda jamani!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] huo mfano wa ruge na nenga umenichekesha sana ....
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] huo mfano wa ruge na nenga umenichekesha sana ....
Ndio uhalisia ulivyo mkuu usicheke 😅 we siku zote ombea uwe nafasi ya Nenga
 
So unakuta zile genuine feelings ziko kwa bill nass ila boss Ruge anakula mzigo kwa sababu tu anampa connections za deals na shows!

Hata boss Ruge angeoa still Nenga angekuwa anaipiga kwa siri na nyumba angejengewa kwa hela za boss Ruge tu.

Ni Kazeze Ni Kazeze!! Kizazaa Gumzo Gumzoo kwa Mabronzoooo Masistaa duuu walimu na wanafunzi NI KAZEZE NI KAZEZE.
 
Money is everything hizo nyingine tunadanganyana hakuna mwanamke atakaye muheshimu mume mwenye hali mbaya kiuchumi na ikotokea basi ni kwa mda tu sio siku zote.
 
Hahahahah mkuu sex ni kwa malaya but love ni kwa wife material! Ninaowasemea mie ni wanawake ambao wako na interest na wewe automatically. Huyu uki engage nae kimapenzi hasumbui na anakuwa mvumilivu kama Toyota corrolla 110!

Mwanamke anahisi kukuhitaji sana kihisia na anakupenda dalili zote huwa zinakuwaga wazi. Huyu anafaa kwa sababu anakuelewa mwenyewe tu naturally ila ukimfata ukaona mwanamke anaanza kona kona nyingi jua hafai atakusumbua.Usikomae wala usitumie hela.
Daaaaah mkuu mnatuvuruga sasa itabidi tu tusioe, maana kuna mwanamke mwingine anaweza kukuchenga chenga na kuleta kona kona nyingi mwanzoni ili kukupima km kweli uko serious nae, sasa utajuaje km hizo kona kona ni za kukupima ama ndo hajakuelewa kabsa mazima?!
 
hahahahha hayo maji si ni kero? mtu unaenjoy mara paap mto unafurika

sioni kama mnapata raha nyie viumbe

hahahhahaha
Utamu wake hauelezeki mkuu[emoji39]
IMG_20210917_173758.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaaah mkuu mnatuvuruga sasa itabidi tu tusioe, maana kuna mwanamke mwingine anaweza kukuchenga chenga na kuleta kona kona nyingi mwanzoni ili kukupima km kweli uko serious nae, sasa utajuaje km hizo kona kona ni za kukupima ama ndo hajakuelewa kabsa mazima?!
Baada ya chenga usitangulize hela😅 ficha hela zako na kuwa mbahili kwa muda uone respondent yake! Ukiona tu haelekei kibla jua hapo hamna mtu!
 
Baada ya chenga usitangulize hela[emoji28] ficha hela zako na kuwa mbahili kwa muda uone respondent yake! Ukiona tu haelekei kibla jua hapo hamna mtu!
Hapo sawa, shida vijana wengi akikutana na mazingira hayo atatanguliza punje za mtama km ulimbo wa kumnasa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu demu hawezi kuwa mzuri by 100% lazma kuna compromise ufanye tu!

Mfano wengine sio wazuri wa sura ila sex wise ni watamu na wako sexy mda wote. Wanaliweza libeneke.

Unakuta demu yupo smart in every aspect ila chumbani “0” hapendi sex so unakuwa kama unamburuza tu kila ukihitaji sex. Anaweza kaa muda mrefu haulizii sex ila mipango ya maisha na upstairs ni 100%

Itategemea wewe interest yako ni ipi hapo. Kama unapenda sex concetrate na mpenda ngono mwenzio ila utakuta hana mipango ya kimaisha.
Ni kweli mkuu. Ndio maana wengine tunaongeza(ga) tu wake kila uchwao.
 
Hapo sawa, shida vijana wengi akikutana na mazingira hayo atatanguliza punje za mtama km ulimbo wa kumnasa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo ndipo mnapofeli, kuku bandani ataingia ila lazma siku atatoroka bandani tu
 
Back
Top Bottom