Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Maisha n magumu kiasi kwamba saivi wadada nnje hawatoki tena,wanajifungia ndani tu anajipga photo lab anapost.

ukinasa unamuita anakuja ndio kashakunasa,utamla na hela utampa..kwake kashaingiza DAY hana hasara, unaona umemuweza nae anaona kakuweza.

win win situation....
 
Ila hizi pics mbona zinaonekana kabisa ni fake. Yaan kama kuna watu wanaingia kingi hapo ni wazembe sana.
 
Hahhaha nimechati na Beyonce kasema Yuko Bongo😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…