Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
🤣🤣🤣 Uwiiii 🏃🏃🏃Kitu hiko hapo!
Fake na og kazi kwako 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Uwiiii 🏃🏃🏃Kitu hiko hapo!
Fake na og kazi kwako 🤣🤣
Sijui kama ni daslama au wapi lakin unahusika na mtu huyuNdo nani huko daslam? 🤣🤣
Unasema nini wewe? Simjui mtu huyo!! (Kwa sauti ya Petro, anavyomkana Yesu) 🤣🤣Sijui kama ni daslama au wapi lakin unahusika na mtu huyu
Unamjua mtu huyo nawewe ndio yule mama Id yako nyingine ina avatar ya Ban😂Unasema nini wewe? Simjui mtu huyo!! (Kwa sauti ya Petro, anavyomkana Yesu) 🤣🤣
Hapo umepuyanga sio mimiUnamjua mtu huyo nawewe ndio yule mama Id yako nyingine ina avatar ya Ban😂
Ntakudunda 😐Hapo umepuyanga sio mimi
Ila mtu huyo namjua kidogoo sio sana
Sema naye anahisi me mkewe, lkn sio me
Me ni mwingine kabisaaa
Sema nawajua wengi humu.
Hebu njoo tena….. unaweza ukapatia 😂😂
Sio me bhanaNtakudunda 😐
Mtu wewe sio miss u-fresh?
Hennessy? Nani huyu tajiri nikumbusheSio me bhana
Me nakunywa Hennessy situmii u fresh
Hebu njoo, kwa mara nyingine 🤣🤣
🤣🤣Hennessy? Nani huyu tajiri nikumbushe
Nije aje sasa? Nikumbushe please🤣🤣
Njoo kwa mara ya mwisho
Njoo kinyume nyume 🤣🤣Nije aje sasa? Nikumbushe please
😂😂😂😂😂Kikubwa mtume maokoto swala la kukutana live ni nyeti kidogo [emoji1787]
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Yaaan si mchezooo kumechafukaaaa😄😄😄😄sijawahii waza hataaaaHuko fb ni kivumbi na jasho wamevaa sare...chezea photolab wewe 🤣🤣🤣🤣
Hapana haiwezekani 😂Njoo kinyume nyume 🤣🤣
Haaahaaha nimekutana nae mmoja nilivokuja Daslama, sitogeuka nyuma...kwa picha mzuri haswaa.. ila nilivoonana nae live du umbo kama train ya kwenda kigoma na ana kitambi juu 😂 😂 😂Ukikutana na mwanamke ambaye ni tofauti na picha yake. Hit and run.
Ukiweza nishtue naenda kulala kwanza 🤣Hapana haiwezekani 😂
Siwezi si umeamua utadhani tupo kwa mganga 😂Ukiweza nishtue naenda kulala kwanza 🤣
Ngoja niingie kitchen nina wageni leo nataka kuwafanyia mambo wakitoka wakasimulie 😂😂Siwezi si umeamua utadhani tupo kwa mganga 😂
Sawa ukimaliza uje uniambie id yako ya awaliNgoja niingie kitchen nina wageni leo nataka kuwafanyia mambo wakitoka wakasimulie 😂😂