othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Zina jukwaa lake nenda huko utazikuta na ukiona hivyo ujue ww ndio umeingia jukwaa ambalo halikuhusu.... jamani anzisheni mada za kuchochea mawazo ya kulipelekea taifa mbele - changamoto za kijamii, kiuchumi, kisiasa, kimaadili, ajira, n.k. Hizi akili za kila mara kuwaza katikati ya magoti na kitovu cha mwanamke, "Tigers of the East" tutaendelea kuimba kama kasuku tu.
Mfano sijawahi kumuona mshana, kelsea, kalpana kwenye jukwaa la wazee wa kubet hii inaonesha sio wapenzi huko.
So tafuta jukwaa la maendeleo utawakuta wadau wenzako huko.