Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Sikuwa naijua mpaka last weekend mdogo wangu akanambia simu yako ina Gbs. Nimdownlodie photo lab.
Nikamuuliza ni nini? Akanishangaa why sijui 🤣 na wakati anajua circle yangu ina mishangazi tupu.. tutajulia wapi

Dogo akashinda na simu yangu.. kilichotokea kiko Avatar 🤣🤣💥

NB. Ni mpuuzi pekee ndio atashindwa kutofautisha picha halisi na photo lab.
So kwenye avatar ni picha yako ilio-editiwa?
 
Back
Top Bottom