Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

kuna mdada nilimwona mitandaoni uko alikuwa na kasura poa sana halaf mdogomdogo sa bana lahaula lakwata nimemwona laivu looh ana kilometa za kutosha na wa kawaida tu wala ana maajabu yyote
Ulimuona mdogo akaja bonge ama 😂😂🙌
Mna balaaa
 
Ni muda wa kufikiri kwa MAKINI KUHUSU maisha hayo mambo mengine yapo tu.Jiulize Leo KWENYE JUKWAA NIMEPATA MPYA GANI YA KUNISAIDIA?
Mkuu kwani hili kumbusho la uwepo wa picha bandia halikusaidii Mkuu?
 
Ukikutana na mwanamke ambaye ni tofauti na picha yake. Hit and run.
Nafunga Mkono hoja.

KAMWE usiache mbachao Kwa msala upitao.


Akija ambaye sio km wa picha...


Relax, usipanik.

Changamka naye .


Kama analewa, mleweshe.

Ale ashibee

Vaa Kondomu Kisha Mtombee haswaaa... Usimuombe kupima hapohapo maana kumshtua mtu kupima Ngoma ni kazi .


Baada ya hapo, mwambie tupime.... Kwakua wanaogopa kupima, atajikataa mwenyewe.

Siku hizi kumuacha mtu, sio mpaka ugonvi
 
Sijui ni ushamba huko photoshoot hata sijui ni wapi....sinaga mahangaiko hayo mie...

Watu wanahangaika acha tu!
Wameji edit na kila aina ya mafilter wapi sura zimegoma,
Wamepigia pic juani wapate rangi lkn wapi!!
Ss hivi wameamua waingie kwenye hiyo photo lab…… ss outfit zinawaumbua wamekua sare sare maua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nimeganda masaa mawili nasubiri picha lakini haziji. hizo picha ziko wapi jamani?
 
Ndugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume

Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF.

Na wote tuseme JF idumu milele.

Ndugu zangu ujio wa app ya photo lab upo mjini na wale wazee wa kuview mapicha picha pamoja na kutumiwa picha tuweni makini sana tujitahidi kuonaa na watoto wa kike, mabinti pamoja na wanawake ana kwa ana (uso kwa uso) na siyo kutegemea kutumiwa picha ndugu zangu.

Teknolojia imekua na kila siku kuna ujio wa vitu vizuri vizuri ili kurahisisha maisha na kupendezesha dunia.

Ujio wa app ya photo lab umefanya picha za wanawake ziwe nzuri zaidi hivyo tujitahidi pia kukutana nao uso kwa uso kabla ya kuanza kuwekeza akili huko.

Naomba kuwasilisha.
Photo lab imezidi u fake.

Haitadumu kama haitafanyiwa marekebisho.
 
Bora Face app na snap, ila photo lab hata kuiona sitakiiii.
Iko too fakee, afu kujua kuwa sio halisii ni dkk chee tyuuu.

Ajabu na wanaume wanatumia pia. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi niliidownload na kuijaribu kama dakika 2-3 nikaifuta na sitaki hata kuisikia.
 
Back
Top Bottom