Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Kuna mwanaume wa matombo huko Moro nae kapost anataka ..mke kwa kupitia huko kwny hyo app...kwa ule urefu tu wadau wakaruka nae tu kwamba ni lini Motombo Ikawa na mwanaume mrefu?...hii appy naona kwa wanawake ndo Inawafaa zaid..mwanaume hakuna kutafuta kujiremba..kama una sura kama ugali wa udaga ni kukomaa nayo Ivo ivo tu
 
Ndugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume

Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF.

Na wote tuseme JF idumu milele.

Ndugu zangu ujio wa app ya photo lab upo mjini na wale wazee wa kuview mapicha picha pamoja na kutumiwa picha tuweni makini sana tujitahidi kuonaa na watoto wa kike, mabinti pamoja na wanawake ana kwa ana (uso kwa uso) na siyo kutegemea kutumiwa picha ndugu zangu.

Teknolojia imekua na kila siku kuna ujio wa vitu vizuri vizuri ili kurahisisha maisha na kupendezesha dunia.

Ujio wa app ya photo lab umefanya picha za wanawake ziwe nzuri zaidi hivyo tujitahidi pia kukutana nao uso kwa uso kabla ya kuanza kuwekeza akili huko.

Naomba kuwasilisha.
[emoji2956]
 
Weka sampuli
 
Sikuwa naijua mpaka last weekend mdogo wangu akanambia simu yako ina Gbs. Nimdownlodie photo lab.
Nikamuuliza ni nini? Akanishangaa why sijui 🤣 na wakati anajua circle yangu ina mishangazi tupu.. tutajulia wapi

Dogo akashinda na simu yangu.. kilichotokea kiko Avatar 🤣🤣💥

NB. Ni mpuuzi pekee ndio atashindwa kutofautisha picha halisi na photo lab.
kumbe una mdogo wako jamani😋
 
Back
Top Bottom