Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Kazi wanayo, mimi hata photoshoot sijawahi kwenda kupoteza muda wangu.
Napigia kisimu changu biashara imeisha, sijichoshi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada wa brands kwenye ubora wako[emoji23]
 
Watu wanahangaika acha tu!
Wameji edit na kila aina ya mafilter wapi sura zimegoma,
Wamepigia pic juani wapate rangi lkn wapi!!
Ss hivi wameamua waingie kwenye hiyo photo lab…… ss outfit zinawaumbua wamekua sare sare maua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja niinstall hiyo photolab niweke pic yako moja nione itakuaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Majibu hapahapa
 
... jamani anzisheni mada za kuchochea mawazo ya kulipelekea taifa mbele - changamoto za kijamii, kiuchumi, kisiasa, kimaadili, ajira, n.k. Hizi akili za kila mara kuwaza katikati ya magoti na kitovu cha mwanamke, "Tigers of the East" tutaendelea kuimba kama kasuku tu.
Ndugu zangu ujio wa app ya photo lab upo mjini na wale wazee wa kuview mapicha picha pamoja na kutumiwa picha tuweni makini sana tujitahidi kuonaa na watoto wa kike, mabinti pamoja na wanawake ana kwa ana (uso kwa uso) na siyo kutegemea kutumiwa picha ndugu zangu.

Teknolojia imekua na kila siku kuna ujio wa vitu vizuri vizuri ili kurahisisha maisha na kupendezesha dunia.

Ujio wa app ya photo lab umefanya picha za wanawake ziwe nzuri zaidi hivyo tujitahidi pia kukutana nao uso kwa uso kabla ya kuanza kuwekeza akili huko.
 
Ngoja niinstall hiyo photolab niweke pic yako moja nione itakuaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Majibu hapahapa

Me nimejikubali nilivyo mkuu [emoji1787]
Najijua nna sura la mtoko wa sherehe ya mwenge inatosha [emoji23][emoji23]
 
Tatizo mnafanana sana hadi miandiko[emoji1787][emoji1787], hebu mtag basi aje hapa ban si inakaribia kuisha

Mke wako wewe nimtag me?? Akija hapa aanze kunihoji why nachat na mumewe, afu namjibuje? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom