Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hapo kwenye mawasiliano ndio utasubiri sana[emoji23][emoji23]ntamuungisha siku moja anipe mawasiliano yake
Dogo anataka kumchukulia demu wake handbag og ya Gucci.
Ana 50k, vipi?[emoji23]
[emoji23][emoji23] location si wewe ndio ulikua unaweka?Kha![emoji119]
Wewe kiboko [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm najua bei yake, na hata cute anazo.Gucci og ndo 50k handbag? Shem acha utanii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], usifananishe og na refurbished.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shem na huyo Dogo wa MUST hawajawahi kuelewana.
Sijui shida nn yaan.
Leo una mpango nichelewe kulala? Si nimekuambia nilipotoka muda mfupi uliopita?? Ile huzuni imeanza kupoa sababu ya haya masihara yako[emoji23][emoji23]Hilo limezingatiwa na maji ya betri kwaajiri ya kuchachua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka km chizi hapa
una duka hapo mwanjelwa nije🤣[emoji1787][emoji1787]
Wacha wee unaomba mawasiliano au sio??
Mwambie mume wake akupe
Dogo anataka brand og kumuungisha cute[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Wacha wee unaomba mawasiliano au sio??
Mwambie mume wake akupe
Gucci og ndo 50k handbag? Shem acha utanii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], usifananishe og na refurbished.
wala hata hatuna ugomviHebu leo watuambie wana shida gani? [emoji1787][emoji1787]
mshamba_hachekwi nini mbaya wewe na Countrywide mliwahi kutongoza sehemu moja au mmechukuliana dem? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu fungukeni leo
[emoji23][emoji23] location si wewe ndio ulikua unaweka?
Itabidi hizo za famba za guangzhou uanze kuwaletea[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gucci ya kwa ndugu zake jet li labda, ila ile og mwambie aendelee kujitafuta
una duka hapo mwanjelwa nije[emoji1787]
Hatuna shida bana. Labda nianze ku-load files kichwani nione anaangukia wapi huyu. Kichwa Ina mambo mengi nasahau sana[emoji23]Hebu leo watuambie wana shida gani? [emoji1787][emoji1787]
mshamba_hachekwi nini mbaya wewe na Countrywide mliwahi kutongoza sehemu moja au mmechukuliana dem? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu fungukeni leo
Leo una mpango nichelewe kulala? Si nimekuambia nilipotoka muda mfupi uliopita?? Ile huzuni imeanza kupoa sababu ya haya masihara yako[emoji23][emoji23]
Falla sana wewe afu nimekutafuta sana ujue🤣[emoji1787][emoji1787]
Me kyuti mpk uniulize hivyo?
Me beki tatu
Nimesahau na makambako[emoji1787][emoji1787]
Ntakuchapa
Dogo anataka brand og kumuungisha cute[emoji23][emoji23]
Duka lipo kkoo na lubumbashi-congo(agent)una duka hapo mwanjelwa nije[emoji1787]
wala hata hatuna ugomvi
ndo wanaume tulivyo