Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hata nikipanda sifikii hiyo switch πSio kwa Lamomy hao ni wale sungura tope hawajui nini wanataka π€£π€£π€£
Wewe njoo tuone, kwan mfupi sana kuzima switch mpk upande kwenye stuli??
Nitajie nishtuke nataka niahtuke fanya hivyoHivi bado huamini km me sio kyuti??
Me ni mwingine kabisaa!! Nikikutajia utashtuka ππ
We utakuwa masuria in judge voice π€£Usinipambanishe na waume za watu dada!!
Ana mkewe huyo bwana Countrywide anaitwa cute ohoo!! π€£π€£π€£
Limeisha wewe njoo kuna vyuku vya kushatoBasi kazi kwako si ulisema mi ni jirani yako utanishtua
Fanya kunipa hiyo account kwanza ili nikushtue π€£π€£Nitajie nishtuke nataka niahtuke fanya hivyo
π usiniangushe jiraniLimeisha wewe njoo kuna vyuku vya kushato
Akaunti yangu ni ya biashara haina picha yanguFanya kunipa hiyo account kwanza ili nikushtue π€£π€£
π€£π€£π€£We utakuwa masuria in judge voice π€£
Wee njoo nishaanza maandaliziπ usiniangushe jirani
π€£π€£π€£Akaunti yangu ni ya biashara haina picha yangu
Shughuli jpili, maandalizi leo si tutakula kiporo πWee njoo nishaanza maandalizi
Niko poa mpz wangu!!Nikopoa vipi wew dear
Kweli naitwa iddi makengo ππ€£π€£π€£
Uongo kwendraaaaa
Masuria hoyeeeeπ€£π€£π€£
Sisy nimecheka km mwehu!!
Mwenyekiti wetu Vicky Kamata anatuwakilisha vyema na Katibu waje J Ntyubaliwe π€£π€£π€£
π€£π€£π€£Shughuli jpili, maandalizi leo si tutakula kiporo π
Uongo π€£π€£π€£Kweli naitwa iddi makengo π
Unaanza kupanua utumbo ili unizidi mgeni ππ€£π€£π€£
Huyo namnywa supu, wengine wapo bandani wa jpili
Kataa sasa πUongo π€£π€£π€£
Afu Idd atakuwa manzi yule
Oyeeeeee!! π€£π€£π€£π€ΈββMasuria hoyeeee