Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Unaona sasa ushaanza kunikandia hata kabla hujaniona je ukiniona?😅Tatizo lenu wajuaji sana afu wabishi!!🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona sasa ushaanza kunikandia hata kabla hujaniona je ukiniona?😅Tatizo lenu wajuaji sana afu wabishi!!🤣🤣
La mama kama la mama 😀😀😀Tatizo lenu wajuaji sana afu wabishi!!
😂 ujichagulie mwenyeweHuu mkopo Kausha damu au chupi mkononi😀😀nijue mapema
Yani hapo wenye unafuu hakuna mkopo wa kausha damu wiki tu unalazwa 😀😀😀😂 ujichagulie mwenyewe
mwanamke ambae kichwani zimo hawezangaikana display cosmeticsNdugu watoto wakiume, wavulana, vijana na wanaume wote bila kusahau wazee wetu wanaume
Nawasalimu nyote kwa Jina la Jamuhuri ya wana JF.
Na wote tuseme JF idumu milele.
Ndugu zangu ujio wa app ya photo lab upo mjini na wale wazee wa kuview mapicha picha pamoja na kutumiwa picha tuweni makini sana tujitahidi kuonaa na watoto wa kike, mabinti pamoja na wanawake ana kwa ana (uso kwa uso) na siyo kutegemea kutumiwa picha ndugu zangu.
Teknolojia imekua na kila siku kuna ujio wa vitu vizuri vizuri ili kurahisisha maisha na kupendezesha dunia.
Ujio wa app ya photo lab umefanya picha za wanawake ziwe nzuri zaidi hivyo tujitahidi pia kukutana nao uso kwa uso kabla ya kuanza kuwekeza akili huko.
Naomba kuwasilisha.
Ndio uwe makini kwenye kufanya uchaguzi 😅Yani hapo wenye unafuu hakuna mkopo wa kausha damu wiki tu unalazwa 😀😀😀
Chupi mkononi huu ukianza kudaiwa unaweza tembea uchi 😀
Siipendi tyuu!! Niliwahi kutumia ikanishinda.Kwani we hutumiagi?
Hivi bado huamini km me sio kyuti??Hata sukari ya u fresh ni kali sana 😂
Hamna bhana!! 🤣🤣Unaona sasa ushaanza kunikandia hata kabla hujaniona je ukiniona?😅
Mambo ndio hayo au kwio wa kienyeji kama mbadalaSiipendi tyuu!! Niliwahi kutumia ikanishinda.
Lakini km unaipenda nitajitahidi nikupikie mgeni wangu 😁😁
Mnasemaga hivyo hivyo alafu baadae maneno yanawatoka kama mmekunywa U fresh za moto 😂Hamna bhana!! 🤣🤣
Wafupi hawana baya we njoo nikuone
🤣🤣🤣La mama kama la mama 😀😀😀
Mpaka hapa ni wewe🤣🤣🤣
Niambie shosti mzima??
🤣🤣🤣Mambo ndio hayo au kwio wa kienyeji kama mbadala
Basi kazi kwako si ulisema mi ni jirani yako utanishtua🤣🤣🤣
Tubaki hapo hapo kwa kwio wa kienyeji ndio vitu napendelea
Sio kwa Lamomy hao ni wale sungura tope hawajui nini wanataka 🤣🤣🤣Mnasemaga hivyo hivyo alafu baadae maneno yanawatoka kama mmekunywa U fresh za moto 😂
Ko nisisalimie watu? 🤣🤣🤣Mpaka hapa ni wewe
Nikopoa vipi wew dear🤣🤣🤣
Niambie shosti mzima??
😂 unasalimia wanini?Ko nisisalimie watu? 🤣🤣🤣