Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

😂😂😂Kuna jiraniyangu nilikuwa napiga nae story mara nikapita status namuona kama mturuki hivi nikashangaa ikabid nimuulize hapohapo kama ni yeye😀😀😀
Mbona waturuki na mablack americans ni wengi sana 😂
Kuna mmoja kapost huko fb na maneno ya shombo kibao ila tunaomjua tunabaki kuduwaa tu kwa jinsi alivyo.
 
😂😂Jana nimekuta mdogowang kawa mzungu na wig la million 2 aise😀😀😀
 
Back
Top Bottom