Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣Unaanza kupanua utumbo ili unizidi mgeni 😅
Ehee!! Mgeni ushaanza nongwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Unaanza kupanua utumbo ili unizidi mgeni 😅
Simpendagi Ana uongo mwingi sana yule jamaaUongo 🤣🤣🤣
Afu Idd atakuwa manzi yule
Sio kweli 🤣🤣Kataa sasa 😂
Ni suala la muda tu..😀😀😀😀Oyeeeeee!! 🤣🤣🤣🤸♀
Katika ubora wetu!
Nacheka mwenzio mpk sio powa, hatimaye masuria tumefikiwa nyie!!😂
Ni muongo anawajaza ili auze vitabu vyake 🤣🤣🤣😂Simpendagi Ana uongo mwingi sana yule jamaa
Msitutishe 🤣🤣🤣Ni suala la muda tu..😀😀😀😀
Yamenitesea wapi, kwanani?Sio kweli 🤣🤣
Wewe mbona mapenzi yanakutesa sasa?!
Nisamehe dada yangu ni utafutaji tu si unajua tunalenga kupata followersSimpendagi Ana uongo mwingi sana yule jamaa
Ila Da Vick jamani amepitia misukosuko sana ya mapenziMsitutishe 🤣🤣🤣
Mgeni nakula kama mkimbizi 😂🤣🤣🤣
Ehee!! Mgeni ushaanza nongwa
Na utakuwa mfupi wewe sio bureNisamehe dada yangu ni utafutaji tu si unajua tunalenga kupata followers
😂😂 sasa ufupi umetokea wapi tena hapaNa utakuwa mfupi wewe sio bure
Si nakuona unavyolia lia humu unambembeleza …………?!🤣🤣🤣Yamenitesea wapi, kwanani?
😂 nambembeleza nani?Si nakuona unavyolia lia humu unambembeleza …………?!🤣🤣🤣
Mwakilishi wetu wa “Wanawake na maendeleo” 🤣🤣🤣Ila Da Vick jamani amepitia misukosuko sana ya mapenzi
Huyu ndyo alituambia mapenzi na shule ni mlenda na pilau enhe 😆😆😆😆😆Mwakilishi wetu wa “Wanawake na maendeleo” 🤣🤣🤣
Maendeleo kokote hata kuwa suria fureeshii tu!!
Itabidi niongeze idadi ya kuku, wengine nikufungie uondoke naye 🤣🤣🤣Mgeni nakula kama mkimbizi 😂
Unamjua ya nini kumwaga mchele kwenye kuku wengi kaka Iddy Makengo 🤣🤣🤣😂 nambembeleza nani?
Mapenzi yatanitesa endapo huyo mhusika ni mpenzi wangu na si vinginevyo
usinifungie nitakula na nani?Itabidi niongeze idadi ya kuku, wengine nikufungie uondoke naye 🤣🤣🤣
Nishajua aina ya mgeni niliyenaye, afu utakuwa mpare wewe! 🤣🤣
Bro Idd
😳 kumbe sio siri tena 😂😂Unamjua ya nini kumwaga mchele kwenye kuku wengi kaka Iddy Makengo 🤣🤣🤣