Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Tuweni makini na picha za wanawake kuna ujio wa app ya Photo Lab

Itabidi niongeze idadi ya kuku, wengine nikufungie uondoke naye 🤣🤣🤣

Nishajua aina ya mgeni niliyenaye, afu utakuwa mpare wewe! 🤣🤣
Bro Idd
usinifungie nitakula na nani?

😂kwani wapare sio watu?
 
Back
Top Bottom