Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣🤣Muhazina ndio Chali na Ile miwani yake ya siku ya ndoa ndio ilimfanya aonekane tapeli kabisa
Aiseeee!! Sasa tutafanyaje jamani?
Basi wajumbe tuandamane wenyewe mpk kieleweke 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Muhazina ndio Chali na Ile miwani yake ya siku ya ndoa ndio ilimfanya aonekane tapeli kabisa
Oyoooooo!! Babu km babuuuUtaiona soon Mjukuu, nakutumia na hela ya emergency njiani incase utaona chochote cha kununua 🤪
Wazee huwa hatujiulizi mara mbili mbili kwamba utakula nauli ama utakuja, ikitokea umekula nauli huwa tunatuma nyingine 🤪
Nzuri mwaya 🤣🤣Safi ndugu za toka mwaka juzi😂😂
Kumbe ulishatapeliwa? 🤣🤣🤣Nasemaje njoo pm hautokuwa wa kwanza au wamwisho kunitapeli humu 😅
Shogare kumbe nawe unataka mpunga 🤣🤣Hebu tuma basi babu nije kukuona nikuletee na koti kutoka ulaya
Ndio maana nkakwambia hautokuwa wa kwanza au wamwisho.Kumbe ulishatapeliwa? 🤣🤣🤣
Me sikutapeli sana, ss hivi nafika huko
😂😂😂Nzuri mwaya 🤣🤣
Nioneshe kwanza muamala wa kutumiwa na babuuuShogare kumbe nawe unataka mpunga 🤣🤣
Fifty yangu nakudai had uitoe nakwambia
Usijali Mjukuu, usisahau kuniletea na kiko nije kuvuta 🤗Hebu tuma basi babu nije kukuona nikuletee na koti kutoka ulaya
Tuma kwanza hela babu...nitaleta kila kituUsijali Mjukuu, usisahau kuniletea na kiko nije kuvuta 🤗
Hahahaha..............Ila nyie wenye Sura za Baba, ndiyo wazuri maana historia inaonesha hamna tabia ya kula nauli 🤗Sisi wenye sura za baba ni hakuna kukutana tunaogopa kukimbiwa stendi 😀
Sawa sawa tajiri 😂😂😂Ndio maana nkakwambia hautokuwa wa kwanza au wamwisho.
Karibu nakusubiria
🤣🤣🤣Nioneshe kwanza muamala wa kutumiwa na babuuu
Wazee hatuna shida, ukitufurahisha hatuchelewi kukupa kadi na password ya benki ukajichotee za kukutosha 🤪Oyoooooo!! Babu km babuuu
Nasemaje Nasemaje
Wazee wote peponi moja kwa moja 😍😍
Sikaziii 😎Sawa sawa tajiri 😂😂😂
Ndiwo ndiwo babuu 🤣🤣🤣Wazee hatuna shida, ukitufurahisha hatuchelewi kukupa kadi na password ya benki ukajichotee za kukutosha 🤪
Utanipa maelekezo ya wapi nikutumie 🤪Tuma kwanza hela babu...nitaleta kila kitu
😀😀😀Tunakula tu na hata tukija tunajua utakimbia mwenyew stendiHahahaha..............Ila nyie wenye Sura za Baba, ndiyo wazuri maana historia inaonesha hamna tabia ya kula nauli 🤗
😅😅😅Ndiwo ndiwo babuu 🤣🤣🤣
Matajiri huwa hawakazii nishakuelewa tajiri 🤣🤣Sikaziii 😎