π€£π€£π€£π€£Muhazina ndio Chali na Ile miwani yake ya siku ya ndoa ndio ilimfanya aonekane tapeli kabisa
Oyoooooo!! Babu km babuuuUtaiona soon Mjukuu, nakutumia na hela ya emergency njiani incase utaona chochote cha kununua π€ͺ
Wazee huwa hatujiulizi mara mbili mbili kwamba utakula nauli ama utakuja, ikitokea umekula nauli huwa tunatuma nyingine π€ͺ
Nzuri mwaya π€£π€£Safi ndugu za toka mwaka juziππ
Kumbe ulishatapeliwa? π€£π€£π€£Nasemaje njoo pm hautokuwa wa kwanza au wamwisho kunitapeli humu π
Shogare kumbe nawe unataka mpunga π€£π€£Hebu tuma basi babu nije kukuona nikuletee na koti kutoka ulaya
Ndio maana nkakwambia hautokuwa wa kwanza au wamwisho.Kumbe ulishatapeliwa? π€£π€£π€£
Me sikutapeli sana, ss hivi nafika huko
πππNzuri mwaya π€£π€£
Nioneshe kwanza muamala wa kutumiwa na babuuuShogare kumbe nawe unataka mpunga π€£π€£
Fifty yangu nakudai had uitoe nakwambia
Usijali Mjukuu, usisahau kuniletea na kiko nije kuvuta π€Hebu tuma basi babu nije kukuona nikuletee na koti kutoka ulaya
Tuma kwanza hela babu...nitaleta kila kituUsijali Mjukuu, usisahau kuniletea na kiko nije kuvuta π€
Hahahaha..............Ila nyie wenye Sura za Baba, ndiyo wazuri maana historia inaonesha hamna tabia ya kula nauli π€Sisi wenye sura za baba ni hakuna kukutana tunaogopa kukimbiwa stendi π
Sawa sawa tajiri πππNdio maana nkakwambia hautokuwa wa kwanza au wamwisho.
Karibu nakusubiria
π€£π€£π€£Nioneshe kwanza muamala wa kutumiwa na babuuu
Wazee hatuna shida, ukitufurahisha hatuchelewi kukupa kadi na password ya benki ukajichotee za kukutosha π€ͺOyoooooo!! Babu km babuuu
Nasemaje Nasemaje
Wazee wote peponi moja kwa moja ππ
Sikaziii πSawa sawa tajiri πππ
Ndiwo ndiwo babuu π€£π€£π€£Wazee hatuna shida, ukitufurahisha hatuchelewi kukupa kadi na password ya benki ukajichotee za kukutosha π€ͺ
Utanipa maelekezo ya wapi nikutumie π€ͺTuma kwanza hela babu...nitaleta kila kitu
πππTunakula tu na hata tukija tunajua utakimbia mwenyew stendiHahahaha..............Ila nyie wenye Sura za Baba, ndiyo wazuri maana historia inaonesha hamna tabia ya kula nauli π€
π π πNdiwo ndiwo babuu π€£π€£π€£
Matajiri huwa hawakazii nishakuelewa tajiri π€£π€£Sikaziii π