Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.

Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.

Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.

Hakuna kitu cha aibu kama mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile na mbaya zaidi wengi wanaofanyiwa hivyo huwa wanafanyiwa na mtu zaidi ya mmoja (3 na kuendelea )mwisho wa siku wengi huishi kwa sonona / aibu wengine wanathirika zaidi na kugeuka mashoga wa kudumu.

Kuna mwenzetu humu yamemkuta, sitataka nimuelezee kiundani ila yeye akisoma huu uzi atajijua , na hili pia liwe funzo kwa wengine wanaomendea wake za watu.

Kaa mbali sana na mke wa mtu, wanawake wapo wengi sana usijiharibie uanaume wako kwa kutamani wake za watu, kwanza unajiweka hatarini zaidi pindi ukigundulika maana comeback ya mwenye mke asilimia kubwa huwa ni ya kinyama sana.

Chunga tamaa mbaya, usione vyaelea ujue vimeundwa.
 
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.

Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.

Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.

Hakuna kitu cha aibu kama mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile na mbaya zaidi wengi wanaofanyiwa hivyo huwa wanafanyiwa na mtu zaidi ya mmoja (3 na kuendelea )mwisho wa siku wengi huishi kwa sonona / aibu wengine wanathirika zaidi na kugeuka mashoga wa kudumu.

Kuna mwenzetu humu yamemkuta , sitataka nimuelezee kiundani ila yeye akisoma huu uzi atajijua , na hili pia liwe funzo kwa wengine wanaomendea wake za watu.

Kaa mbali sana na mke wa mtu , wanawake wapo wengi sana usijiharibie uanaume wako kwa kutamani wake za watu, kwanza unajiweka hatarini zaidi pindi ukigundulika maana comeback ya mwenye mke asilimia kubwa huwa ni ya kinyama sana.

Chunga tamaa mbaya, usione vyaelea ujue vimeundwa.
Chai
 
Kuna kakikundi kameibuka siku za hivi karibuni kanaleta sera za "Ooh, hata ufanyaje jua mkeo wanamla tu".

Bablai, we kula tu wake za watu, ila omba usishikwe! Ukiingia kwenye 18, utajua haujui!
Kabisa yani.

Kuna ambao watakuroga, kuna ambao watatuma kakikundi kawatu kaje kukushambulia kwa kipigo kitakatifu na kuna wale ambao watakuja kukulawiti.
 
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume

Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.
Uwiano wa wanawake kwa wanaume ni 1:1, tena wanawake wa kuoa au kuwa wapenzi ni wachache zaidi kuliko wanaume kwa sababu wanaume wanaoa au wanamiliki wapenzi wanawake wengi.
 
Back
Top Bottom