Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

Mbona hata jeshi la Israel (IDF) lina tuhuma nyingi sana za kuwalawiti wafungwa wa Palestina kama form of punishment?!

israeli ni arabs usisahahu hilo au kuna isreali arabs wengi tu ...
 
huwa nawazaga yani mke wa mtu anafukunyuliwa usiku mzima bado unamtaman aisee hiyo sio kawaida. japo hi ni chai ila inakaujumbe fulani hv.
 
takwimu za kubumba, hazina ushahidi wowote zaidi kutungwa kinadharia

zimetungwa na nani? vipi khs siria ambapo wanaume walilawitiwa wakiwa jela na serikali ya siria kama adhabu? nayo imetungwa? ...
 
20% of iraq men walikili kubakwa au kuchezewa na wanaume wenzao …
Kwanini usilete huu ushahidi wa makanisa kwa wachungaji na mapadri kubaka na kulawiti mamilioni ya wauumini wao amabya yana ushahidi kamili unaenda kuleta uwongo wa kutungwa ?
Na hata Tanzania upo ushahidi wa mapadri kubaka watoto tokea enzi za ukolono!

Church sexual harassment and abuse are systemic global crises predominantly documented within the Catholic Church, though cases span various denominations. Investigations across multiple countries have revealed hundreds of thousands of victims, systemic cover-ups, and decades of institutional indifference. [1, 2, 3, 4, 5]
Key global findings include:
    • France: An independent inquiry in 2021 estimated that approximately 216,000 children were victims of clergy sexual abuse between 1950 and 2020. [1]
    • Spain: A 2023 investigation estimated that over 200,000 individuals may have been victims of clergy abuse. [1]
    • Australia: A five-year Royal Commission into Institutional Responses to Child Sexual Abuse concluded in 2017 that tens of thousands of children were abused in religious institutions, with the highest prevalence in Catholic organizations. [1, 2]
    • United States: The 2004 John Jay Report identified over 4,300 Catholic priests and deacons with abuse allegations spanning 50 years, impacting at least 10,000 victims. Other Protestant and evangelical denominations (e.g., the Assemblies of God) have also faced major investigations regarding clergy abuse and failure to report. [1, 2, 3]
    • Ireland: State and Church-commissioned reports in the 2000s detailed endemic physical, psychological, and sexual abuse in Catholic-run industrial schools, orphanages, and parishes
 
hao mapadri "walibaka" wanaume? kwa arabs wanaume wanabakwa zaidi na wanaume klk wanawake na siyo kwamba nasema ni sawa kubaka, la hasha, ila nataka tu kusema ni wapi hii tabia iliyoenea hapa tanzagiza pwani, zanzibar na mombasa ya kubaka wanaume kama form ya punishment inakotokea, kwa maana siyo utamadunia wetu ...
 
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.

Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.

Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.

Hakuna kitu cha aibu kama mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile na mbaya zaidi wengi wanaofanyiwa hivyo huwa wanafanyiwa na mtu zaidi ya mmoja (3 na kuendelea )mwisho wa siku wengi huishi kwa sonona / aibu wengine wanathirika zaidi na kugeuka mashoga wa kudumu.

Kuna mwenzetu humu yamemkuta , sitataka nimuelezee kiundani ila yeye akisoma huu uzi atajijua , na hili pia liwe funzo kwa wengine wanaomendea wake za watu.

Kaa mbali sana na mke wa mtu , wanawake wapo wengi sana usijiharibie uanaume wako kwa kutamani wake za watu, kwanza unajiweka hatarini zaidi pindi ukigundulika maana comeback ya mwenye mke asilimia kubwa huwa ni ya kinyama sana.

Chunga tamaa mbaya, usione vyaelea ujue vimeundwa.

Sio Lucas kweli?
 
hao mapadri waliobaka wanaume? kwa arabs wanaume wanabakwa zaidi na wanaume klk wanawake na isoy kwamba nasema ni sawa kubaka la hasha, ila nataka tu kusema ni wapi hii tabia iliyoenea hapa tanzagiza pwani, zanzibar na mombasa ya kubaka wanaume kama form ya punishment inakotokea, kwa maana siyo utamadunia wetu ...
Usitake kujizima data mlokole
hiz tuhuma za makanisa zimeletwa na wanaume na watoto wa kiume waliobakwa
While a single global percentage for the sexual harassment or abuse of men and boys by churches doesn't exist, major inquiries consistently show that males make up the vast majority of victims—typically between 60% and 80% of reported cases. The abuse of males is statistically more prevalent than the abuse of females in these institutional settings. [1, 2, 3, 4]
Key statistics from major national and international investigations highlight the scale of the issue: [1]
    • Australia: The landmark Royal Commission into Institutional Responses to Child Sexual Abuse found that boys were more likely than girls to be abused by religious leaders. In Catholic institutions, the average age of alleged victims was roughly 11.6 for boys. [1, 2]
    • France: A major 2021 independent inquiry estimated that 216,000 children had been abused by Catholic clergy since 1950, and noted that the "vast majority" of these victims were boys. [1, 2, 3, 4, 5]
    • United States: Studies of Catholic clergy have found that over 80% of victims were adolescent males. [1]
    • United Kingdom: The Independent Inquiry into Child Sexual Abuse (IICSA) found widespread institutional failings across all major religions in England and Wales, noting that a significant proportion of historical claims involved male victims in residential institutions and religious roles like altar servers. [1]
These organizations have increasingly acknowledged that power imbalances, internal secrecy, and a lack of oversight allowed predatory clergy and church volunteers to target vulnerable boys over several decades. [1, 2]

Na ushahidi wa huu ushenzi ulioteka Tanzania, ilikuwa shule wa wavulana

1784632796459.png
 
huwa nawazaga yani mke wa mtu anafukunyuliwa usiku mzima bado unamtaman aisee hiyo sio kawaida. japo hi ni chai ila inakaujumbe fulani hv.
Umesema kweli. Wakati mwingine watu hutamani vya wenzao bila kutambua kwamba kila kilicho cha mtu kina mwenyewe anayekithamini na kukitunza. Tamaa ikizidi, akili hupungua. Hii ni chai, lakini kwa mwenye kutafakari, ujumbe umefika.
 
Back
Top Bottom