Typhoid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 246
- 107
Hivo kwanza mwanaume utaanzaje kubakwa? Kisa mke wa mtu? Njoo huku mara ujaribu kumbaka mwanaume kisa kakuchukulia mke, utaondoka bila kichwahaya sasa elezea kwa nini mambo ya ufirauni na ushenzi yako zaidi magomeni, ilala, mwananyamala, zanzibar na mombasa? kwa nini hatuyasikii mbeya, songea, mpanda, musoma au hata bariadi? au kwa nini kwa kenya hatuyasikii wakikuyu au wajaluo lkn only mombasa? isitoshe hapa tunaongelea ushenzi wa makundi ya wanaume kubaka mwanaume mwingine kama adhabu, huu ushenzi kwa nini mikoani kwetu hauko? kwa nini umeshamiri tu zanzibar, mombasa, magomeni, ilala, kariakoo? ...