Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

Sasa unahangaikaje na kuanza kumpenda mke wa mtu wakati wanawake wamejaa kibao nje tu, hawajaolewa? Au unafikiri mali ya mwanaume mwenzio kuifanya iwe yako, imekaa sawa! What if you will be done so?
 
Waelimishe mkuu, wasijetaka kuja kukutana na hukumu ya m;mungu mtukufu.
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.

Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.

Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.

Hakuna kitu cha aibu kama mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile na mbaya zaidi wengi wanaofanyiwa hivyo huwa wanafanyiwa na mtu zaidi ya mmoja (3 na kuendelea )mwisho wa siku wengi huishi kwa sonona / aibu wengine wanathirika zaidi na kugeuka mashoga wa kudumu.

Kuna mwenzetu humu yamemkuta, sitataka nimuelezee kiundani ila yeye akisoma huu uzi atajijua , na hili pia liwe funzo kwa wengine wanaomendea wake za watu.

Kaa mbali sana na mke wa mtu, wanawake wapo wengi sana
 
3. Ndoa ivunjike, wanaopendana wakaishi pamoja.
Kama mkifikia hatua ya kuvunjika kwa ndoa kunapaswa kufanyika kwa utaratibu wa kisheria na kwa heshima, badala ya kuanzisha uhusiano mpya kabla ndoa iliyopo haijamalizika rasmi. sawa bwashee ?
 
Kama mkifikia hatua ya kuvunjika kwa ndoa kunapaswa kufanyika kwa utaratibu wa kisheria na kwa heshima, badala ya kuanzisha uhusiano mpya kabla ndoa iliyopo haijamalizika rasmi. sawa bwashee ?
Watu wanaweza kuanza kutesti kwanza kabla ndoa haijavunjika, mbona vijana huwa wanaanza kula tunda kabla hawajafunga ndoa.
 
Watu wanaweza kuanza kutesti kwanza kabla ndoa haijavunjika, mbona vijana huwa wanaanza kula tunda kabla hawajafunga ndoa.
upo sahihi kiongozi
kama mtu bado hajaoa au hajaolewa, maamuzi yake yanamhusu yeye na nafsi yake. Lakini pale mmoja akiwa tayari ameoa au ameolewa, kuna ahadi na wajibu uliopo tayari. Ndiyo maana kisheria na kibusara na hata kidini watu wengi huona kuwa ni vyema kwanza ndoa iliyopo imalizike kwa utaratibu wa kisheria na kwa heshima, ndipo kila mmoja awe huru kuanzisha uhusiano mpya.
 
Unakuta watu wanaishi zogeza tukae halafu akikukuta unamshenyeta hawara wake anasema umemgegeda mkewe
 
Sasa kama mke wa mtu anatoa uroda kwa tamaa zake ataachwaje? Sema wanaume wasipende kutongoza wake za watu na wake za watu nao wasijiparatishe kwa wanaume wasio wao
 
Unakuta watu wanaishi zogeza tukae halafu akikukuta unamshenyeta hawara wake anasema umemgegeda mkewe
waoane kabisa, kuna misikiti, makanisa, bomani na milani wakafunge ndoa huko, vinginevyo wivu usiwepo kwa kuwa we mwanaume uliyesogeza mwanamke mkawa mnaishi naye huyo si mkewe, wengine nao watamla tu
 
Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.

Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.

Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.

Hakuna kitu cha aibu kama mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile na mbaya zaidi wengi wanaofanyiwa hivyo huwa wanafanyiwa na mtu zaidi ya mmoja (3 na kuendelea )mwisho wa siku wengi huishi kwa sonona / aibu wengine wanathirika zaidi na kugeuka mashoga wa kudumu.

Kuna mwenzetu humu yamemkuta, sitataka nimuelezee kiundani ila yeye akisoma huu uzi atajijua , na hili pia liwe funzo kwa wengine wanaomendea wake za watu.

Kaa mbali sana na mke wa mtu, wanawake wapo wengi sana usijiharibie uanaume wako kwa kutamani wake za watu, kwanza unajiweka hatarini zaidi pindi ukigundulika maana comeback ya mwenye mke asilimia kubwa huwa ni ya kinyama sana.

Chunga tamaa mbaya, usione vyaelea ujue vimeundwa.
Kwani huyo mwanaume ndo amekuaa amemuumba mwanamnke? Umesalitiwa toa taraka. Mimi ukinikamata ugoni muulize mkeo kwanini anazini, lakini ukisema unakuja kibabe kwangu ujue kuna mawili, ufe au nife. Huwezi kuniingilia kinyume cha maumbile kifara hivo. Mwanamke sio mali yako. Mie nikimkamata ugoni wife ndoa ndo inaishia pale. Kwanini nimetese mwanaume mwingine kisa meanamke?
 
Kuna wanawake wako kwenye ndoa ila ni wagawaji uroda kama njugu. Mwanaume uliyeoa mwanamke mchepukaji kuwa mpole tu, usiwe na wivu utaishia pabaya
 
Hua mnatoa wapi hizi data, latest census ya dunia inaonyesha katika wanaume 101 kuna wanawake 100, tumepishana kidogo sana
 
Back
Top Bottom