Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,113
- 12,140
Njombe hakuna machoko janja.JF SIO FACEBOOK..hiz ni mada za watu wa njombe
Pelekeni ujinga wenu huko huko Darisalama.
Njombe hakuna machoko janja.JF SIO FACEBOOK..hiz ni mada za watu wa njombe
Je kama mke anajitunza mwenyewe kwa pesa zake na mume hana mchango wowote wa yeye kupendeza??Umesema kweli. Wakati mwingine watu hutamani vya wenzao bila kutambua kwamba kila kilicho cha mtu kina mwenyewe anayekithamini na kukitunza. Tamaa ikizidi, akili hupungua. Hii ni chai, lakini kwa mwenye kutafakari, ujumbe umefika.
Bado atujajua uko upande upi mkuu mtatuliwa marinda au mwenye mkeHapana.
Lengo la uzi ni kutoa tahadhari kwa wengine, yasije yakawakuta kama yaliyomkuta mwenzetu.
Hayupo sawa kabisa mpaka kwenye mitandao ya kijamii ameanza kujitoa.
Nani kakudanganya Njombe hakuna machoko??Njombe hakuna machoko janja.
Pelekeni ujinga wenu huko huko Darisalama.
hata kama mke anajigharamia mavazi, vipodozi au huduma za urembo, hilo halibadilishi ukweli kwamba ni mke wa mtu na anastahili kuheshimiwa. Vivyo hivyo, kama mume anachangia au hachangii kifedha katika kujitunza kwake, hilo halifanyi iwe sahihi kwa watu wengine kumtamani au kuingilia ndoa yao. Heshima kwa mipaka ya mahusiano ipo bila kutegemea nani analipia gharama za kujitunza.Je kama mke anajitunza mwenyewe kwa pesa zake na mume hana mchango wowote wa yeye kupendeza??
Je kama mtu amempenda mke wa mtu au mke wa mtu amempenda mwanaume mwingine inabidi wafanyaje?hata kama mke anajigharamia mavazi, vipodozi au huduma za urembo, hilo halibadilishi ukweli kwamba ni mke wa mtu na anastahili kuheshimiwa. Vivyo hivyo, kama mume anachangia au hachangii kifedha katika kujitunza kwake, hilo halifanyi iwe sahihi kwa watu wengine kumtamani au kuingilia ndoa yao. Heshima kwa mipaka ya mahusiano ipo bila kutegemea nani analipia gharama za kujitunza.
Mwambie aje PM nimpe hela ya matibabu ya qunduleHuyo mwana jf ni wewe pole
afadhali hii ina kauhalisia flani ndani yake ndugu yangu nyingne huko ya msela alivyopata mbunge club ati amelewa akaenda nae geto yaani ya moto kishenzi.Mnawezaje kunywa chai mchana huu waungwana?
Utajuaje kama ni mke wa mtu?Mwenyezi Mungu ameumba idadi kubwa sana ya wanawake kuliko wanaume.
Yani uwiano wa mwanamke kwa mwanaume ni 3:1 na hata sayansi (genetics) imetuthibitishia hilo.
Sasa tamaa za kimwili zikizidi matokeo yake majuto yasiyokwisha maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.
Hakuna kitu cha aibu kama mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbile na mbaya zaidi wengi wanaofanyiwa hivyo huwa wanafanyiwa na mtu zaidi ya mmoja (3 na kuendelea )mwisho wa siku wengi huishi kwa sonona / aibu wengine wanathirika zaidi na kugeuka mashoga wa kudumu.
Kuna mwenzetu humu yamemkuta , sitataka nimuelezee kiundani ila yeye akisoma huu uzi atajijua , na hili pia liwe funzo kwa wengine wanaomendea wake za watu.
Kaa mbali sana na mke wa mtu , wanawake wapo wengi sana usijiharibie uanaume wako kwa kutamani wake za watu, kwanza unajiweka hatarini zaidi pindi ukigundulika maana comeback ya mwenye mke asilimia kubwa huwa ni ya kinyama sana.
Chunga tamaa mbaya, usione vyaelea ujue vimeundwa.
Pete ya NdoaUtajuaje kama ni mke wa mtu?
NakaziaKUTATUA MARINDA NI USHOGA
Kwani wote wanavaa pete mkuu?Pete ya Ndoa
Usitake kujizima data mlokole
hiz tuhuma za makanisa zimeletwa na wanaume na watoto wa kiume waliobakwa
While a single global percentage for the sexual harassment or abuse of men and boys by churches doesn't exist, major inquiries consistently show that males make up the vast majority of victims—typically between 60% and 80% of reported cases. The abuse of males is statistically more prevalent than the abuse of females in these institutional settings. [1, 2, 3, 4]
Key statistics from major national and international investigations highlight the scale of the issue: [1]
These organizations have increasingly acknowledged that power imbalances, internal secrecy, and a lack of oversight allowed predatory clergy and church volunteers to target vulnerable boys over several decades. [1, 2]
- Australia: The landmark Royal Commission into Institutional Responses to Child Sexual Abuse found that boys were more likely than girls to be abused by religious leaders. In Catholic institutions, the average age of alleged victims was roughly 11.6 for boys. [1, 2]
- France: A major 2021 independent inquiry estimated that 216,000 children had been abused by Catholic clergy since 1950, and noted that the "vast majority" of these victims were boys. [1, 2, 3, 4, 5]
- United States: Studies of Catholic clergy have found that over 80% of victims were adolescent males. [1]
- United Kingdom: The Independent Inquiry into Child Sexual Abuse (IICSA) found widespread institutional failings across all major religions in England and Wales, noting that a significant proportion of historical claims involved male victims in residential institutions and religious roles like altar servers. [1]
Na ushahidi wa huu ushenzi ulioteka Tanzania, ilikuwa shule wa wavulana
View attachment 3634243
Kama hajavaa atakuambia yeye ni mke wa mtu.Kwani wote wanavaa pete mkuu?
Nikweli hasa kwa movement za kupinga ushoga uku tuna wachekea watu ambao ni 4 mpka 6 wakiikamiahuo ushenzi na ufirauni ni matokeo ya arab influence, kwenye mila na desturi zetu za kibantu hata hakuna mambo ya wanaume kubaka mwanaume mwingine kama form of punishment, tembelea vijiji vyetu mikoani au uliza watu waliokulia vijijini kama walishawahi kusikia mwanaume kabwakwa na kundi kundi la wanaume wenzake, uliza wamasai kama wana huo ushenzi na ufirauni.
huo ushenzi uko pwani tu ambako kuna arabic influence btw hata north afrika kuna ushenzi na ufirauni hivyo hivyo kama pwani ya tanzagiza, zanzibar au mombasa kwamba kundi la wanaume wanalawiti mwanaume mwenzao ...
Sio kufumuliwa marina tu! Angestahili kifo. Ni dharau kubwa kutembea na mke wa mtu, mwenye mke unamdharau, Kafie mbali.Ratio ya female:male is almost 1:1
😂😂😂😂 kuna wengine wanasema a wengine hawasemi. Kama akisema hapo hakuna shida. Asiposema hapo kuna mambo mawili either kuliwa yeye au kuliwa mwanaume.Kama hajavaa atakuambia yeye ni mke wa mtu