Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

Tuweni makini na wake za watu, kuna mtu kaumizwa kisa kutembea na mke wa mtu

hao mapadri "walibaka" wanaume? kwa arabs wanaume wanabakwa zaidi na wanaume klk wanawake na siyo kwamba nasema ni sawa kubaka, la hasha, ila nataka tu kusema ni wapi hii tabia iliyoenea hapa tanzagiza pwani, zanzibar na mombasa ya kubaka wanaume kama form ya punishment inakotokea, kwa maana siyo utamadunia wetu ...
Kweli nimekulia Mara sijawahi kusikia haya mambo, nimekuta pwani. Kule Mars wanakuua na mapanga...Pwani wanaume wa Dar wanakuf!ra
 
waoane kabisa, kuna misikiti, makanisa, bomani na milani wakafunge ndoa huko, vinginevyo wivu usiwepo kwa kuwa we mwanaume uliyesogeza mwanamke mkawa mnaishi naye huyo si mkewe, wengine nao watamla tu
Na wengi wanaojifanya wana uchungu wamefanya kusogeza tu kama wanasogeza mizigo
 
huo ushenzi na ufirauni ni matokeo ya arab influence, kwenye mila na desturi zetu za kibantu hata hakuna mambo ya wanaume kubaka mwanaume mwingine kama form of punishment, tembelea vijiji vyetu mikoani au uliza watu waliokulia vijijini kama walishawahi kusikia mwanaume kabwakwa na kundi kundi la wanaume wenzake, uliza wamasai kama wana huo ushenzi na ufirauni.

huo ushenzi uko pwani tu ambako kuna arabic influence btw hata north afrika kuna ushenzi na ufirauni hivyo hivyo kama pwani ya tanzagiza, zanzibar au mombasa kwamba kundi la wanaume wanalawiti mwanaume mwenzao ...
Hivi wakina Anko T ni watu wa kutokea pwani?Na je wadhamini wao wale wanaowateteaga kwa kivuli cha haki za binadamu kisha wanawahamisha nchi na kuwaalika Marekani pia ni watu wa pwani au ni waarabu?
Hizi ni stori za kusadikika tu ni uvumi na uzushi mimi nimekaa uarabuni sijawahi kuwaona hao mashoga
 
haya sasa elezea kwa nini mambo ya ufirauni na ushenzi yako zaidi magomeni, ilala, mwananyamala, zanzibar na mombasa? kwa nini hatuyasikii mbeya, songea, mpanda, musoma au hata bariadi? au kwa nini kwa kenya hatuyasikii wakikuyu au wajaluo lkn only mombasa? isitoshe hapa tunaongelea ushenzi wa makundi ya wanaume kubaka mwanaume mwingine kama adhabu, huu ushenzi kwa nini mikoani kwetu hauko? kwa nini umeshamiri tu zanzibar, mombasa, magomeni, ilala, kariakoo? ...
 
Kuna maeneo nchi hii hiyo ni biashara wala hakuna anayef*rwa.

Ukikamatwa unalipishwa tu yanaisha.

Mwaka 2020 jamaa yangu mzee wa kanisa (kijana tu) alidakwa na mke wa mchungaji wa kanisa analosali (walokole) ikamtoka 5M cash Lodge na nyingine taratibu.

Unaambiwa alimpigia Mama mkwe wake alikuwa ndo kapata mafao yake kwamba amekwama anahitaji pesa haraka akamtumia ajinasue na uzinzi alipojua shida huko baadae huyo mama alipata kiharusi.
 
Lakini nao hao wake waache uchokozi. Sijui ni kwangu tu au ni general
Mimi hata wakae uchi,sishtuki. Nina mambo ya muhimu sana ya kudeal nayo!. Wakawachokoze waume zao huko!.

Kabla sijaoa,nimetegwa sana na wanawake wakiwemo wake za watu lakini waliishia kukata tamaa wao wenyewe!
Uanaume sio kumfungulia zipu kila Mwanamke!. Sihitaji sifa za kijinga!
 
haya sasa elezea kwa nini mambo ya ufirauni na ushenzi yako zaidi magomeni, ilala, mwananyamala, zanzibar na mombasa? kwa nini hatuyasikii mbeya, songea, mpanda, musoma au hata bariadi? au kwa nini kwa kenya hatuyasikii wakikuyu au wajaluo lkn only mombasa? isitoshe hapa tunaongelea ushenzi wa makundi ya wanaume kubaka mwanaume mwingine kama adhabu, huu ushenzi kwa nini mikoani kwetu hauko? kwa nini umeshamiri tu zanzibar, mombasa, magomeni, ilala, kariakoo? ...
Siwezi kuthibitisha kitu ambacho sijakiona kwa macho yangu kwa kusikia tu.
Ili niweze kuthibitisha lazima kwanza nitembee mikoa yote na kulinganisha ila sio kwa kusikia tu na uvumi
 
Siwezi kuthibitisha kitu ambacho sijakiona kwa macho yangu kwa kusikia tu.
Ili niweze kuthibitisha lazima kwanza nitembee mikoa yote na kulinganisha ila sio kwa kusikia tu na uvumi

sawa, basi ukimaliza kutembelea unaweza kurudi tena hapa na mrejesho kama ukipenda, internet inaweka records ...
 
Back
Top Bottom