Tuzidi kuiombea nchi yetu amani, maelewano yanapokuwa hayana nafasi Vita hunukia, Tafadhali tusifike huko

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya amani hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, resistance huanza kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, matamko, harakati za mitandaoni, malalamiko, n.k. lakini na huko wakianza kufunga viongozi wa walalamikaji (upinzani), kufunga mitandao, kukataza mikutano, hofu badala ya maelewano, n.k. kwa muda mrefu haya mambo yakiendelea huwa kuna risk ya kuona njia pekee iliyobaki ni ya mabavu - "vita".

Historia imetufundisha kuwa vita havina mshindi wa kweli huacha majeraha ya muda mrefu, huzuni na uharibifu mkubwa.

Tafadhali, tusifike huko. Tuzidishe maombi kwa ajili ya nchi yetu. Tuchague mazungumzo badala ya migogoro, mshikamano badala ya mgawanyiko. Amani ni urithi wa thamani tuilinde kwa moyo wote.

Vita vya ndani mara nyingi huwa ni surprise bila kuweza kupata majibu ni lini wameji organize, wamepata wapi silaha, walijifunzia wapi, n.k.

hata kama kuna probability ndogo ya kufika huko si jambo la kupuuza, its not worth it ! kama yanaweza kumalizwa kwa maelewano, mabadiliko yafanyike !
 
Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya maendeleo. Lakini pale yanapokosekana, harufu ya vita huanza kunukia. Historia imetufundisha kuwa vita havina mshindi wa kweli huacha majeraha ya muda mrefu, huzuni na uharibifu mkubwa.

Tafadhali, tusifike huko. Tuzidishe maombi kwa ajili ya nchi yetu. Tuchague mazungumzo badala ya migogoro, mshikamano badala ya mgawanyiko. Amani ni urithi wa thamani tuilinde kwa moyo wote.

Vita vya ndani mara nyingi huwa ni surprise bila kuweza kupata majibi wameji organize lini, wamepata wapi silaha, walijifunzia wapi, n.k.

Kwanini kuwe na uwezekano hata wa asilimia 1 kufika huko kama yanaweza kumalizwa kwa maelewano, hakuna sababu !

Vita visikieni tu.
Acheni kuiba kwanza Rostam kamiliki nchi nzima
 
Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya maendeleo hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, harufu ya resistance huanza kunukia kupitia maandamano, mikutano, n.k. ukifunga na huko kuna risk ya kutumia mabavu kwa njia ya vita.

Historia imetufundisha kuwa vita havina mshindi wa kweli huacha majeraha ya muda mrefu, huzuni na uharibifu mkubwa.

Tafadhali, tusifike huko. Tuzidishe maombi kwa ajili ya nchi yetu. Tuchague mazungumzo badala ya migogoro, mshikamano badala ya mgawanyiko. Amani ni urithi wa thamani tuilinde kwa moyo wote.

Vita vya ndani mara nyingi huwa ni surprise bila kuweza kupata majibi wameji organize lini, wamepata wapi silaha, walijifunzia wapi, n.k.

Kwanini kuwe na uwezekano hata wa asilimia 1 kufika huko kama yanaweza kumalizwa kwa maelewano, hakuna sababu !

Vita visikieni tu.
Wameamua kuziba masikio maana kila wanachotaka wanapata iwe pesa, kura n.k.
Hamna wanayemsikiliza acha inyeshe kile kiti kitawaka moto
 
Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya amani hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, resistance huanza kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, matamko, harakati za mitandaoni, malalamiko, n.k. lakini na huko wakianza kufunga viongozi wa walalamikaji (upinzani), kufunga mitandao, kukataza mikutano, hofu badala ya maelewano, n.k. kwa muda mrefu haya mambo yakiendelea huwa kuna risk ya kuona njia pekee iliyobaki ni ya mabavu - "vita".

Historia imetufundisha kuwa vita havina mshindi wa kweli huacha majeraha ya muda mrefu, huzuni na uharibifu mkubwa.

Tafadhali, tusifike huko. Tuzidishe maombi kwa ajili ya nchi yetu. Tuchague mazungumzo badala ya migogoro, mshikamano badala ya mgawanyiko. Amani ni urithi wa thamani tuilinde kwa moyo wote.

Vita vya ndani mara nyingi huwa ni surprise bila kuweza kupata majibu ni lini wameji organize, wamepata wapi silaha, walijifunzia wapi, n.k.

hata kama kuna probability ndogo ya kufika huko si jambo la kupuuza, its not worth it ! kama yanaweza kumalizwa kwa maelewano, mabadiliko yafanyike !
Hao watu waache wizi kwanza ndiyo tuelewane, la sivyo hatuwezi kuwaelewa. Mnaongea amani wakati mnateka watu wasio na hatia, mnabaka, mnalawiti, mnaua na kuumiza family zao mbwa ninyi. Wananchi wanaishi kwa umaskini wanakosa hadi Panadol halafu watu wachache wanaiba mali zetu. Tangu lini chama cha siasa kinamiliki migodi????? Hiyo migodi inasaidiaje taifa letu? Serikali inatakiwa iwe mmiliki kama hawajauzia watu binafsi kwa bei ya soko, mnauza mgodi wenye metric tonne Millioni 400 kwa Shs Bil.5, yaani metric tonne moja kwa Shs. 11 huo ni wizi.....Hatukubali.....ROSTAM RUDISHA MALI YETU NA LIPA FIDIA.

CCM haina haki ya kuhodhi mali yetu, leo mnahodhi viwanja vya mpira, majengo mengi mijini, wakati tulichanga watanzania wote wakati wa udikteta wa chama kimoja. Hii ilipaswa iwe mali ya serikali kwa wakati huu wa vyama vingi, kwa sababu tulichangishwa kwa nguvu, mazao yetu yalikatwa kodi kwa ajili ya kujenga hayo majengo na stadiums. Mliozaliwa jana msilete midomo yenu, hamjui tuliopitia tuliozaliwa zamani punda nyie.
 
Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya amani hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, resistance huanza kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, matamko, harakati za mitandaoni, malalamiko, n.k. lakini na huko wakianza kufunga viongozi wa walalamikaji (upinzani), kufunga mitandao, kukataza mikutano, hofu badala ya maelewano, n.k. kwa muda mrefu haya mambo yakiendelea huwa kuna risk ya kuona njia pekee iliyobaki ni ya mabavu - "vita".

Historia imetufundisha kuwa vita havina mshindi wa kweli huacha majeraha ya muda mrefu, huzuni na uharibifu mkubwa.

Tafadhali, tusifike huko. Tuzidishe maombi kwa ajili ya nchi yetu. Tuchague mazungumzo badala ya migogoro, mshikamano badala ya mgawanyiko. Amani ni urithi wa thamani tuilinde kwa moyo wote.

Vita vya ndani mara nyingi huwa ni surprise bila kuweza kupata majibu ni lini wameji organize, wamepata wapi silaha, walijifunzia wapi, n.k.

hata kama kuna probability ndogo ya kufika huko si jambo la kupuuza, its not worth it ! kama yanaweza kumalizwa kwa maelewano, mabadiliko yafanyike !
4R's za Mama sizisikii tena au zimekufa?
 
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya ukitimia Nchi itatulia kwani muungano utakufa na Tanganyika kuwa huru
 
ibilisi wa ccm huu ndiyo mwisho wenu laana ya kumtesa lisu kuwaonea chadema itawatafuna hadi mifupa
 
Back
Top Bottom