Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

Hizi nadharia ukiziangalia utaona ni kama kweli. Ila ni story za kusadikika. Nashindwaga kushangaa wanapowahusisha na ibada za kishetani. Wawepo, wasiwepo kuna maeneo hawawezi kupeleka ushawishi wao. Hasa kwa nchi za kiarabu na baadhi ya nchi kama uchina russia na korea ya kaskazini.
Wanasemaga kwamba kila rais wa nchinwao wana mkono wao. Yaani hata Tchisekedi aliyeshinda juzi huko kongo wao wanahusika. Mpaka jiwe!!!
 
Nahisi kama hii ni ID nyingine ya Mathanzua. Ndio nyuzi zake hizi.
 
Hivi dini ya kiislam inayojinasibu ni ya kweli na ni ya mnyaazi mungu kuliko dini zingine inaongozwa na familia ipi ya illuminant? Wachina na wajapani hawajapona kwenye mkumbo huo na wanaongozwa na moja ya familia hizo 13 za illuminanta. Ndio maana huwa tunawaambia waislam wa mchambawima, makunduchi, mkwajuni, mfenesini, mbuyuni na madongokuinama hapahapa bongo waache jazba za kidini hawajui dini yao inaongozwa na nani, sio Mungu wa kweli bali ni genge fulani la kihuni lililojipa jukumu la kuongoza dunia kwa mlango wa nyuma
 
Usichojua uislamu ni tawi lao na nchi za kiislamu walishazikamata ,dini ya kiislamu ni mpango wao

Saudi Arabia alipozaliwa Mohammed na makao makuu ya uislamu ,ipo chini ya marekani ,unataka wafanye kipi Cha zaidi
 
Ni mwendo wa conspiracy, najua wewe ni msababato Jackwillpower , hiyo obelisk najua unaelewa maana yake. Sasa kwenye kaburi la nabii huo mnara unafanya nini?
View attachment 2859908
Madhehebu karibu yote waasisi walikuwa freemason sio Ellen G white,sio T Russel mwanzilishi wa mashahid WA Jehova kaburi la Russel lina muhuri WA freemason sawa na la kanumba
 
Saudia Arabia makao makuu ya uislamu ni kibaraka wa USA
 
Madhehebu karibu yote waasisi walikuwa freemason sio Ellen G white,sio T Russel mwanzilishi wa mashahid WA Jehova kaburi la Russel lina muhuri WA freemason sawa na la kanumba
Sio kweli,ila kwasasa wameshajipenyeza kwenye madhehebu yote na dini zote hata hiyo uliyopo
 
Naona wengi wanamponda mleta mada ila haya mambo yameelezewa kwenye kwenye kitabu cha new world order mimi nasoma vitabu ila kusema kweli kitabu hiki cha new world order na 48 laws power vilichukua mda mrefu kuvisoma ni virefu haswa kama kitu mtu hajui ni bora kukaa kimya na mtoa mada ameeleza hapo vitabu alivyosoma tusitumie simu kuangalia pornography na umbea wa mange kimambi app tujifunze kusoma ila hao jamaa wapo kwenye siasa kwenye mpira na wasanii zaidi soma hapa kwenye kitabu chao. View attachment A. Ralph Epperson - The New World Order - pdf.pdf
 

Attachments

Nimesoma word to word, line to line...nilichogundua ni kwamba sisi binadamu wote tunaishi ndani ya utaratubu uliotengenezwa na watu wachache kwa malengo yao

By the way,uliisikia habar ya watu kujisajili nchini Kenya kwa kutumia nyuso zao au macho yao?
Lilitolewa tangazo la usajili na kila aliyehitaji kujisajili alilipwa kiasi fulani cha fedha (nadhani ni Shilingi elfu saba ya Kenya) na kwenye usajili huo walikuwa wana-scan macho au nyuso za watu wahusika...jaribu kuifuatilia hiyo habar!
 
Madhehebu karibu yote waasisi walikuwa freemason sio Ellen G white,sio T Russel mwanzilishi wa mashahid WA Jehova kaburi la Russel lina muhuri WA freemason sawa na la kanumba
Angalau umeongea kitu, wasabato wengi hawawezi kujibu hili.
 
Usichojua uislamu ni tawi lao na nchi za kiislamu walishazikamata ,dini ya kiislamu ni mpango wao

Saudi Arabia alipozaliwa Mohammed na makao makuu ya uislamu ,ipo chini ya marekani ,unataka wafanye kipi Cha zaidi
Uislamu ulianzishwa na majesuit hata Muhammad wao ndio walimpendekeza na kumfunza Quran.
Uislam ni tawi la ukatoliki uarabuni ili kuwaweka waarabu chini ya mwamvuli mmoja
 
Noma sana!
 
....mambo hayako kama tunavyofikiri.
 
Seen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…