Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

Angalau umeongea kitu, wasabato wengi hawawezi kujibu hili.
Ellen bibi wa kisabato aliyekuwa akiota ndoto na kulipuka toka kuzimia akija na mafunuo akachapisha vitabu mengi yaliyomo ni ajenda za freemason.
 
Hivi dini ya kiislam inayojinasibu ni ya kweli na ni ya mnyaazi mungu kuliko dini zingine inaongozwa na familia ipi ya illuminant? Wachina na wajapani hawajapona kwenye mkumbo huo na wanaongozwa na moja ya familia hizo 13 za illuminanta. Ndio maana huwa tunawaambia waislam wa mchambawima, makunduchi, mkwajuni, mfenesini, mbuyuni na madongokuinama hapahapa bongo waache jazba za kidini hawajui dini yao inaongozwa na nani, sio Mungu wa kweli bali ni genge fulani la kihuni lililojipa jukumu la kuongoza dunia kwa mlango wa nyuma
We hujiulizi why nchi za kiarabu zikitaka kuweka vikwazo kwa Israel aka wazayuni wale watawala WA macca kwa MUNYAZZ ndio wanaweka pingamizi!? Ilitakiwa wao ndo wawe namba Moja.... Wale wote ni jamii Moja.... wote wazayuni tu Sema wamevaa KANZU.
UNAJUA HATA MAU WA CHINA ALISOMA KWENYE UNIVERSITY YA HAWA ROTHSCHILD!? na Carl max ni cousin wao sijui WA 6. Hawa ndio wamiliki WA Dunia. Hawa ndio walinunua kipande pale Israel/palestina then wanawapa UN/UK ili wawape wale wazayuni unaowaona Leo wanaua wapalestina.
 
Ellen bibi wa kisabato aliyekuwa akiota ndoto na kulipuka toka kuzimia akija na mafunuo akachapisha vitabu mengi yaliyomo ni ajenda za freemason.
Siokweli unapotosha,kitabu gan Cha E.G.W kina ajenda za freemasons na zipi
 
Bora umenisaidia kumjibu, sikutaka kumjibu maana niliona kakurupuka
Wew umemtaja John David Rockefeller ambaye ndiye found ujataja his family acha kujizima data,,unaokotoka madubwasha yaliyoeditiwa na walevi wezako unawayatuma hivohivo bila kuwa na evidence
 
Rockefeller ni kizazi endelevu yaani familia na sio mtu mmoja.
Hao ndio Dunia Mali Yao Hadi kesho.
Wengi ni mayahudi.
Ndo maana wanaitwa the.The family.Baadhi ya
top illuminated family
.The Rockefellers,The Rothschild,Du point,De beers.
Debeers ndio hao kina Cecil Rhodes mtawala wa Zimbabwe ya ukoloni,ndio wanaomiliki makampuni makubwa ya madini ya anglo,barric,Ashanti,nk wao ndio upanga bei zote za madini Dunia.
Madini yote duniani nchi yeyeto ni Mali Yao Dunia nzima sisi ni wasimamizi TU.
Hebu soma vinzur unzi wake yeye ameaza kumtaja John David Rockefeller ambaye ndiye founder akidai aliendesha cjui kikao gan 1945 wakat John David Rockefeller alidied 1937,,
NB,,hajasema Rockefeller family but alimtaja John David Rockefeller as mwendeshaji wa huo mkutano jambo ambalo sio kweli.
 
Kachanganya.
Ukigoogle the Rockefellers family ni tangu miaka ya 1700 huko wananuka utajiri.
Ndie tajiri Dunia utajiri wake haujawahi vunjwa rekodi yake
 
Siokweli unapotosha,kitabu gan Cha E.G.W kina ajenda za freemasons na zipi
Habari za Ellen zimejaa mitandaoni na ufreemason wake

Nenda kazitafute utajua ni Freemason kwa kiwango gani

Ata kanisa la Africa inland church kutoka huko marekani ambalo limezagaa sana kwa wasukuma ni misingi ya hao freemason, kajisomee huko huko mitandaoni ulipotoa hizi taarifa za Illuminati
 
Uislamu ulianzishwa na majesuit hata Muhammad wao ndio walimpendekeza na kumfunza Quran.
Uislam ni tawi la ukatoliki uarabuni ili kuwaweka waarabu chini ya mwamvuli mmoja
Duh..
Kwa hiyo quran ni kitabu cha Jesuit hawa hawa wa Kikatoliki?
 
Back
Top Bottom