Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

Mch. wa kanisa la SDA na alama ya namba 11 maana yake nini?
maana yake kanisa la SDA ni fake, hata Ellen White nabii mke aliyelianzisha ni feki, ndio maana alitabiri mara kadhaa mwisho wa dunia ila hadi leo dunia ipo. hakuwa mtu wa Mungu. na SDA hamtafika mbinguni kwasababu mmeukataa wokovu, na mnaamini mnao uwezo wa kujiponya kwa kutimiza sheria ambayo hakuna mwenye mwili aliyefanikiwa kumpendeza Mungu kwa matendo ya sheria, kwa kutimiza sheria, ila tunaokolewa kwa neema.
 
Hizi nadharia ukiziangalia utaona ni kama kweli. Ila ni story za kusadikika. Nashindwaga kushangaa wanapowahusisha na ibada za kishetani. Wawepo, wasiwepo kuna maeneo hawawezi kupeleka ushawishi wao. Hasa kwa nchi za kiarabu na baadhi ya nchi kama uchina russia na korea ya kaskazini.
Wanasemaga kwamba kila rais wa nchinwao wana mkono wao. Yaani hata Tchisekedi aliyeshinda juzi huko kongo wao wanahusika. Mpaka jiwe!!!
Hahasaa
 
Story za Zamani hizi. Hizo familia ziliweka misingi ya kupata pesa na kuziendeleza. Lakini sidhani kama ndo zimatawala dunia. Nafkiri dunia inatawaliwa sana na watawala wa ki nchi na kikanda. Ktk huo utwala wao mbona hawaitawali North Korea? Hizi ni chai chai msimu huu wa baridi
 
Back
Top Bottom