Jesus37
Senior Member
- Feb 9, 2023
- 108
- 112
kweli wako watu wanaamua dunia iende vp.?Hata mnavyokula mihogi na kuchangia maji na simbilisi hayo nayo ni matokea ya hizo familia13🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli wako watu wanaamua dunia iende vp.?Hata mnavyokula mihogi na kuchangia maji na simbilisi hayo nayo ni matokea ya hizo familia13🙂
maana yake kanisa la SDA ni fake, hata Ellen White nabii mke aliyelianzisha ni feki, ndio maana alitabiri mara kadhaa mwisho wa dunia ila hadi leo dunia ipo. hakuwa mtu wa Mungu. na SDA hamtafika mbinguni kwasababu mmeukataa wokovu, na mnaamini mnao uwezo wa kujiponya kwa kutimiza sheria ambayo hakuna mwenye mwili aliyefanikiwa kumpendeza Mungu kwa matendo ya sheria, kwa kutimiza sheria, ila tunaokolewa kwa neema.Mch. wa kanisa la SDA na alama ya namba 11 maana yake nini?
Gugoooomaisha hayawahi kua rahisi kiasi hicho
HahasaaHizi nadharia ukiziangalia utaona ni kama kweli. Ila ni story za kusadikika. Nashindwaga kushangaa wanapowahusisha na ibada za kishetani. Wawepo, wasiwepo kuna maeneo hawawezi kupeleka ushawishi wao. Hasa kwa nchi za kiarabu na baadhi ya nchi kama uchina russia na korea ya kaskazini.
Wanasemaga kwamba kila rais wa nchinwao wana mkono wao. Yaani hata Tchisekedi aliyeshinda juzi huko kongo wao wanahusika. Mpaka jiwe!!!
SahihiConspirasies at work.
Rules za wealth ni earning,saving,investing, budgeting,and protecting ukiweza hivyo basi achana na stories zingine.