bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ellen bibi wa kisabato aliyekuwa akiota ndoto na kulipuka toka kuzimia akija na mafunuo akachapisha vitabu mengi yaliyomo ni ajenda za freemason.Angalau umeongea kitu, wasabato wengi hawawezi kujibu hili.
Naomba unambie ni wimbo gani wa Koffi Olomide unaupenda zaidi?Noma sana!
We hujiulizi why nchi za kiarabu zikitaka kuweka vikwazo kwa Israel aka wazayuni wale watawala WA macca kwa MUNYAZZ ndio wanaweka pingamizi!? Ilitakiwa wao ndo wawe namba Moja.... Wale wote ni jamii Moja.... wote wazayuni tu Sema wamevaa KANZU.Hivi dini ya kiislam inayojinasibu ni ya kweli na ni ya mnyaazi mungu kuliko dini zingine inaongozwa na familia ipi ya illuminant? Wachina na wajapani hawajapona kwenye mkumbo huo na wanaongozwa na moja ya familia hizo 13 za illuminanta. Ndio maana huwa tunawaambia waislam wa mchambawima, makunduchi, mkwajuni, mfenesini, mbuyuni na madongokuinama hapahapa bongo waache jazba za kidini hawajui dini yao inaongozwa na nani, sio Mungu wa kweli bali ni genge fulani la kihuni lililojipa jukumu la kuongoza dunia kwa mlango wa nyuma
Siokweli unapotosha,kitabu gan Cha E.G.W kina ajenda za freemasons na zipiEllen bibi wa kisabato aliyekuwa akiota ndoto na kulipuka toka kuzimia akija na mafunuo akachapisha vitabu mengi yaliyomo ni ajenda za freemason.
Siokweli ,EGW aliwapinga sana hao na kanisa la Roma ,Angalau umeongea kitu, wasabato wengi hawawezi kujibu hili.
Wew umemtaja John David Rockefeller ambaye ndiye found ujataja his family acha kujizima data,,unaokotoka madubwasha yaliyoeditiwa na walevi wezako unawayatuma hivohivo bila kuwa na evidenceBora umenisaidia kumjibu, sikutaka kumjibu maana niliona kakurupuka
Hebu soma vinzur unzi wake yeye ameaza kumtaja John David Rockefeller ambaye ndiye founder akidai aliendesha cjui kikao gan 1945 wakat John David Rockefeller alidied 1937,,Rockefeller ni kizazi endelevu yaani familia na sio mtu mmoja.
Hao ndio Dunia Mali Yao Hadi kesho.
Wengi ni mayahudi.
Ndo maana wanaitwa the.The family.Baadhi ya
top illuminated family
.The Rockefellers,The Rothschild,Du point,De beers.
Debeers ndio hao kina Cecil Rhodes mtawala wa Zimbabwe ya ukoloni,ndio wanaomiliki makampuni makubwa ya madini ya anglo,barric,Ashanti,nk wao ndio upanga bei zote za madini Dunia.
Madini yote duniani nchi yeyeto ni Mali Yao Dunia nzima sisi ni wasimamizi TU.
Kachanganya.Hebu soma vinzur unzi wake yeye ameaza kumtaja John David Rockefeller ambaye ndiye founder akidai aliendesha cjui kikao gan 1945 wakat John David Rockefeller alidied 1937,,
NB,,hajasema Rockefeller family but alimtaja John David Rockefeller as mwendeshaji wa huo mkutano jambo ambalo sio kweli.
Jarbu kufatilia kitu kabla ya kupostBora umenisaidia kumjibu, sikutaka kumjibu maana niliona kakurupuka
Em tutoe tongotongo mkuu..Usichojua uislamu ni tawi lao na nchi za kiislamu walishazikamata ,dini ya kiislamu ni mpango wao
Habari za Ellen zimejaa mitandaoni na ufreemason wakeSiokweli unapotosha,kitabu gan Cha E.G.W kina ajenda za freemasons na zipi
Najua aliwapinga sana, swali langu ni huo mnara (obelisk) kuwa kwenye kwenye kaburi lakeSiokweli ,EGW aliwapinga sana hao na kanisa la Roma ,
Duh..Uislamu ulianzishwa na majesuit hata Muhammad wao ndio walimpendekeza na kumfunza Quran.
Uislam ni tawi la ukatoliki uarabuni ili kuwaweka waarabu chini ya mwamvuli mmoja
Dunia imedhibitiwa na familia 13 Tu.sijaelewa kitu
Vatican.Em tutoe tongotongo mkuu..
Kwani hiyo dini ya "haki" muasisi na mmiliki wake ni nani?
UONGOWao ndio upanga ulimwengu utembee na biti ipi ugaidi,corona,ushoga,vita nk