Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

Nakubali sana Ndugu yangu.

Wewe ni miongoni mwa vijana wachache mno wa kitanzania wanaosoma.

Natamani ningekuwa na kipawq kama chako.

MUNGU AKUBARIKI SANA.
 
Nimeshasoma sana nadhani sidhan kama umenifikia , najua jinsi walivyoingia kwenye makanisa,EGW hakuwahi kuwa shirika na hao ,

Wewe ndio inabidi ukachimbe zaidi,sio juu juu
 
Sidhan kama una elimu kuhusu freemason na illuminati kuliko Mimi

Nimeshiriki nao na nikatoka huko ,

 
A bunch of bullshit to unload here;
- Rockefeller na Rothschild dynasties hawamiliki dunia kama unavyodai, hiyo ni fantasy ya baadhi ya watu. Hizi ni familia zilizokuwa prominent miaka mingi ya nyuma kwa sasa zimekuwa scatered na hazina tena influence kama mnavyotaka kutuaminisha. Na sio familia hizo tu ndio zilikuwa na influence na utajiri enzi hizo (wenyewe wanaitaga old money), nyingine ni kama za JP Morgan, Vanderbirt, Getty, Kennedy n.k.

-Umetaja familia kadhaa hapo na kudai ndizo zinamiliki madini yote duniani, huo nao ni uongo. David Rockefellers alianzisha kampuni ya mafuta (Standard Oil), Rothchilds walikuwa bankers, Du Pont biashara yao ni chemicals. De Beers bishara yao ni almasi pekee, hawajihusishi na aina nyingine za madini. Kingine usichojua ni kwamba kampuni zote kubwa duniani huwa ni public companies (PLC), hazimilikiwi na mtu mmoja, share zake zinakuwa zinauzwa kwenye stock exchanges. Hata wewe kama una hela unaweza kununua share ukawa part owner.
 
TUZIFAHAMU FAMILIA 13 ZA ILLUMINATI ZINAZOIENDESHA DUNIA NA MAISHA YA BINADAMU KATIKA NYANJA ZOTE.

Katika kitabu kinachoitwa"Holy blood Holy Grail
Umesahau kusema pia kwamba kitabu hiki cha kizushi kinasema Yesu hakufa msalabani, alioa na kizazi muendelezo wa familia yake kipo.
 
🚮🚮🚮
 
Sidhan kama una elimu kuhusu freemason na illuminati kuliko Mimi

Nimeshiriki nao na nikatoka huko ,

Hawa freemasons una fahamu chimbuko lake halisi?

Una weza kututoa tongo tongo?

Et ndugu msomi?

Hapa ndio nitaelewa wewe ulikuwa freemason Au ulikuwa wale wa piga namba hii ujiunge freemasons...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…