Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

Umetiririka poa sana. Anayesoma afahamu kwamba kuna systems zimewekwa na ibilisi nyingi sana, ambazo zinasababisha stress kwetu wabadamu na hatimaye baadhi ya magonjwa yaanzia hapo na mwisho vifo kabla ya wakati.
 
Sawa Ingawa Thread Hizi Zipo Miaka Mingi Sana JF Intelligence
 
UONGO ULIOZOELEKA

Kwanza unapaswa ujue kuwa Freemasonry sio Dini wala Dhehebu

Ni jamii ya siri ambayo haina hayo yote yaliyoongelewa

Adolph Hitler alikuwa Mwanasiasa Dictator, alihodhi madaraka na mamlaka yote ya Ujerumani kwa nguvu ya dola

Freemasonry ni jamii tu na wengi wanaongeza mengi ya uongo kuhusu hii jamii
 
Kumbuka kuna John D. Rockefeller Jr. huyu alichukua jina la mzee wao na alikufa 1960. muda mwingine ubishi hauna maana
 
Bado watu mnafuatilia huu utopolo?

Hizi story pamoja na story za shigongo tuliacha kusoma primary miaka hiyo wengine bado mnafuatilia na kuziamini! Kweli nyakati hazipiti, wewe ndo unapita nyakati.

Fanya kazi ukiwa maskini utaona kila mtu ni mbaya wako na kumpa lawama.
 
Kachanganya.
Ukigoogle the Rockefellers family ni tangu miaka ya 1700 huko wananuka utajiri.
Ndie tajiri Dunia utajiri wake haujawahi vunjwa rekodi yake
Hajavunja rekodi ya Mansa Mussa kutoka mali.
Aligawa dhahabu alipokua anaenda kuhiji alipokua anarudi akazinunua tenaa Ili kustabilize uchumi wa hilo eneo.
 
Mpaka leo sijapata USHAHIDI wa MAANDISHI wala SIMULIZI wa Ellen G. White kujiita Nabii...

Sasa SDA hili neno Nabii wamelitoa wapi???
 
Mpaka leo sijapata USHAHIDI wa MAANDISHI wala SIMULIZI wa Ellen G. White kujiita Nabii...

Sasa SDA hili neno Nabii wamelitoa wapi???
Maajabu kaburi lake lina alama ya mnara wa babeli sijui wasabato wanatuambia Nini juu ya hili.
Mnara wa Babeli ulijengwa na nimrod dini ya kale kwa sasa wafuasi WA nimrod wanaitwa freemason.
Freemason ni chama cha shetani chenye lengo la kumuombea shetani msamahaa kwa Mungu.
 
story za freemason niuongo tu.!
 
Urusi je viongozi wake mbona hujawagusia? Au sio wanachama wa hivyo vyama
 
shetani shetani yupo kweli.? uongo tu
 
Hajavunja rekodi ya Mansa Mussa kutoka mali.
Aligawa dhahabu alipokua anaenda kuhiji alipokua anarudi akazinunua tenaa Ili kustabilize uchumi wa hilo eneo.
maisha hayawahi kua rahisi kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…