Hizi nadharia ukiziangalia utaona ni kama kweli. Ila ni story za kusadikika. Nashindwaga kushangaa wanapowahusisha na ibada za kishetani. Wawepo, wasiwepo kuna maeneo hawawezi kupeleka ushawishi wao. Hasa kwa nchi za kiarabu na baadhi ya nchi kama uchina russia na korea ya kaskazini.
Wanasemaga kwamba kila rais wa nchinwao wana mkono wao. Yaani hata Tchisekedi aliyeshinda juzi huko kongo wao wanahusika. Mpaka jiwe!!!